Sipendagi kuongea sana nikiwa nasafiri na ukiwa mwongeaji sana nasikia ni kero kwangu, usingizi ndio chaguo langu.Wale majamaa hawana bei hata elfu tano huwa mara nyingi wanataka pia watu wa kupiga nao domo hasara yake moja unatakiwa upige mastori kama mlijuana tangu utotoni
😁🤣😂Sasa hapo morogoro si unatembea tuu mkuu, acha uvivu.
Hao majamaa ni story tu kwa kwenda mbeleMsome kwanza dereva anapenda story gani tembea na beat yake hutalipa hata sh mia
Mbona easy,wanaume kuwa kama marafiki lisaa moja linatosha,ngumu ni women vs women!!Wale majamaa hawana bei hata elfu tano huwa mara nyingi wanataka pia watu wa kupiga nao domo hasara yake moja unatakiwa upige mastori kama mlijuana tangu utotoni
Dar - Moro ni 24/7, nenda pale Ubungo Tanesco, Kimara Stop Over na usawa wa Mbezi Magufuli, gari kedekede kibao, haswa IT. Abood anapeleka gari kila saa mpaka saa 6 usiku kisha anaanza tena saa 11 alfajiriHabari hivi naweza pata usafiri huo kwa usikuu huu? Na shida kidogo kwenda Morogoro
IT nyingi tuHabari hivi naweza pata usafiri huo kwa usikuu huu? Na shida kidogo kwenda Morogoro
Nenda KEMONDO KWA YUSUF MBEZI hata kama unataka kwenda Kongo usiku huuIT nyingi tu
kwahiyo kama ww sio muongeaji usiye na story au wakijua ww ni domo zege wanakushusha au.?Wale majamaa hawana bei hata elfu tano huwa mara nyingi wanataka pia watu wa kupiga nao domo hasara yake moja unatakiwa upige mastori kama mlijuana tangu utotoni
Haya asijaribu,nusu saa ameshafika...Panda magari yote ila sio yale yanayojulikana kama magari ya magazeti. Usafiri upo 24/7 kwa sasa