monotheist JF-Expert Member Joined Apr 30, 2017 Posts 830 Reaction score 1,449 Sep 28, 2023 #1 Nimejaribu kusearch sikufanikiwa kupata hizi airpods msaada kwa anayefahamu supplier anayeuza nahitaji kuagiza kutoka alibaba
Nimejaribu kusearch sikufanikiwa kupata hizi airpods msaada kwa anayefahamu supplier anayeuza nahitaji kuagiza kutoka alibaba
M masafi JF-Expert Member Joined Aug 4, 2015 Posts 707 Reaction score 673 Sep 28, 2023 #2 Alibaba utapata feki.
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 31,559 Reaction score 42,179 Sep 28, 2023 #3 Bidhaa ya Marekani itafute Marekani, ya china tafuta china etc.
buyoya419 JF-Expert Member Joined Oct 20, 2017 Posts 618 Reaction score 498 Sep 29, 2023 #4 Hizo model yake ni f9 Ila jbl anapachikwa tu juu kama mvuto
monotheist JF-Expert Member Joined Apr 30, 2017 Posts 830 Reaction score 1,449 Sep 29, 2023 Thread starter #5 buyoya419 said: Hizo model yake ni f9 Ila jbl anapachikwa tu juu kama mvuto Click to expand... Mkuu hebu nielekeze inamaana unaongea na seller aweke nembo kwenye box na kwenye airpods au?
buyoya419 said: Hizo model yake ni f9 Ila jbl anapachikwa tu juu kama mvuto Click to expand... Mkuu hebu nielekeze inamaana unaongea na seller aweke nembo kwenye box na kwenye airpods au?
Emmanuel S Jonathan JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 379 Reaction score 278 Sep 30, 2023 #6 Unataka copy
monotheist JF-Expert Member Joined Apr 30, 2017 Posts 830 Reaction score 1,449 Oct 1, 2023 Thread starter #8 Emmanuel S Jonathan said: Unataka copy Click to expand... Ndio
buyoya419 JF-Expert Member Joined Oct 20, 2017 Posts 618 Reaction score 498 Oct 10, 2023 #9 monotheist said: Mkuu hebu nielekeze inamaana unaongea na seller aweke nembo kwenye box na kwenye airpods au? Click to expand... Unaongea naye hio system kwa sasa alibaba ipo moja kwa moja unamwambie kabisa andika hivi
monotheist said: Mkuu hebu nielekeze inamaana unaongea na seller aweke nembo kwenye box na kwenye airpods au? Click to expand... Unaongea naye hio system kwa sasa alibaba ipo moja kwa moja unamwambie kabisa andika hivi
buyoya419 JF-Expert Member Joined Oct 20, 2017 Posts 618 Reaction score 498 Oct 10, 2023 #10 monotheist said: Ndio Click to expand... I Attachments JamiiForums1396932441.jpg 69.6 KB · Views: 14