Naweza pata new friends (GF)

Naweza pata new friends (GF)

But what I didn't notice before is that I'm the youngest person in JF I thought there would any other members of my age but now I'm finding myself alone
So I'll try to cope with the situation
People of my age are still in school

Ukiona mtu anakazania young young ujue ni ID ya 2006 huko iliyokuja kivingine 2020....hii ndio JF!

Eti youngest person in JF!wewe umejuaje?
Wewe ni mkubwa uliyeamua kujiupdate na huo u19

Hebu jiheshimu mzeee!
 
@Joanah mimi ni mwanaume siwezi sema uongo hata Instagram natumia jina langu halisi labda sijui niweke birth certificate yangu ndo uamini
I was born in 2001,Aug 1
Hata nikiwadanganya what will I benefit...

JF nimeijua baada ya kuona my bro anaitumia ndo nikavutiwa sijabadilisha ID na hiyo ni age yangu ya ukweli
 
Kinachokufanya uonekane ni uongo ni unavyoukazania huo umri wako humu...sijui unaona ni kipi special kuhusu umri wako,unatumia nguvu kinyama watu humu wajue wewe ni mdogo!

Wewe ni mkubwa,19 huna udogo wowote

Unakuwa kama wale wanaojifanya wakuuuubwa humu yani mnaoboa kinyama mnaoongelea ongelea ukubwa na udogo wenu humu!

Haya weka cheti

#pOvU
 
birth certificate ntaweka kesho usjali na ukikuta ni kweli je Joanah
 
Dah!mniambie kwanini people are not being real here in JF
And leo ndo nimeamini people are hated for being real and liked for being fake
Kijana, hapa watu huwa hawajadili mambo laini laini, na panafatiliwa na ma afisa vipenyo wengi.Sasa kuna mijadala inahusu taifa,na ukosoaji watu hawataki kujiweka katika wakati mgumu kipuuzi.

Unaweza kuona kule juu kuna mtu kakwambia hayo mambo unayotaka mengi yako facebook.

Tambua pia hakuna anaekuchukia,watu wanakupa changamoto(challenge) kwa ulichokifanya.Hebu jaribu hata kuwauliza kaka zako juu ya hiki unachofanya kama watasema unafanya jambo la kishujaa.
Sio ajabu hata baba yako au mjomba wako yuko humi anaona unavyostaajabisha kwa kutafuta girlfriend huku mtandaoni....
Mkurya wa wapi wewe? Tarime au Serengeti?
 
Dah!mimi sijawahi tumia Facebook napenda kujifunza niliona JF ni sehemu salamu ya kuexpress your ideas openly ukaeleweka kwa hiyo I'm young Ila sitaki kujifanya mdogo zaidi
" express your ideas openly"
Unaspeed Sanaa..
 
Kijana, hapa watu huwa hawajadili mambo laini laini, na panafatiliwa na ma afisa vipenyo wengi.Sasa kuna mijadala inahusu taifa,na ukosoaji watu hawataki kujiweka katika wakati mgumu kipuuzi.

Unaweza kuona kule juu kuna mtu kakwambia hayo mambo unayotaka mengi yako facebook.

Tambua pia hakuna anaekuchukia,watu wanakupa changamoto(challenge) kwa ulichokifanya.Hebu jaribu hata kuwauliza kaka zako juu ya hiki unachofanya kama watasema unafanya jambo la kishujaa.
Sio ajabu hata baba yako au mjomba wako yuko humi anaona unavyostaajabisha kwa kutafuta girlfriend huku mtandaoni....
Mkurya wa wapi wewe? Tarime au Serengeti?
Ok,Ila unaamini hata ukiweka wrong identity wakiamua kukutafuta na maafisa huwezi patikana kwa upana wa teknolojia tulionao
 
But what I didn't notice before is that I'm the youngest person in JF I thought there would any other members of my age but now I'm finding myself alone
So I'll try to cope with the situation
People of my age are still in school
Acha ujinga wewe dogo
Hizi thread hadi unaboa Sasa,,walikuambia ukifika basi uandike mfululizo Kama mharisho???
 
Saint Anne, mpaka leo hii nawakumbuka zaidi wanafunzi waliokuwa wanaboa kuliko wale wapole..

Yeah nimekusikia Ila umefanya vema kuniambia acha ujinga,ntaacha na ntakuwa msikivu Ila mi huwa mbishi sana
 
@Saint Anne mpaka leo hii nawakumbuka zaidi wanafunzi waliokuwa wanaboa kuliko wale wapole..

Yeah nimekusikia Ila umefanya vema kuniambia acha ujinga,ntaacha na ntakuwa msikivu Ila mi huwa mbishi sana
Muraa! Unapost sana! Watu wana hasira nawewe kwa post zako za kijinga, angalia wasikugheche!!
Vipi umekula kiboro na chahe, au mama Bhoke kakupa ucchi wa moto?? [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Muraa! Unapost sana! Watu wana hasira nawewe kwa post zako za kijinga, angalia wasikugheche!!
[emoji23][emoji23]post za kijinga Ila wakifundishwa shule na wao wanaamini wametokana na sokwe wanakubali
 
Jamii Forum "TUNAPOTHUBUTU KUONGEA UKWELI"[emoji17][emoji17][emoji17][emoji17]
 
Back
Top Bottom