zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,846
- Thread starter
- #21
Wataje tu no pbHere are some few members younger than you even if I mention them you will not believe, be matured!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wataje tu no pbHere are some few members younger than you even if I mention them you will not believe, be matured!!
But what I didn't notice before is that I'm the youngest person in JF I thought there would any other members of my age but now I'm finding myself alone
So I'll try to cope with the situation
People of my age are still in school
Chukua link hiyo, nenda katafute girlfriend!Dah!mniambie kwanini people are not being real here in JF
And leo ndo nimeamini people are hated for being real and liked for being fake
@Joanah mimi ni mwanaume siwezi sema uongo hata Instagram natumia jina langu halisi labda sijui niweke birth certificate yangu ndo uaminiUkiona mtu anakazania young young ujue ni ID ya 2006 huko iliyokuja kivingine 2020....hii ndio JF!
Eti youngest person in JF!wewe umejuaje?
Wewe ni mkubwa uliyeamua kujiupdate na huo u19
Hebu jiheshimu mzeee!
Dah!mi nataka wasomi wa humu japokuwa nimeishia form 3Chukua link hiyo, nenda katafute girlfriend!
Nancy Chocolate, 24, Dar-es-Salam I found this hottie on Badoo
Ndugu, nikusaidie vipi? Humu usidhani wamekuja tu wanakusubiria, kila umuonae humu ujuae ana wake!! Ohoo!!Dah!mi nataka wasomi wa humu japokuwa nimeishia form 3
@Joanah mimi ni mwanaume siwezi sema uongo hata Instagram natumia jina langu halisi labda sijui niweke birth certificate yangu ndo uamini
I was born in 2001,Aug 1
Hata nikiwadanganya what will I benefit...
JF nimeijua baada ya kuona my bro anaitumia ndo nikavutiwa sijabadilisha ID na hiyo ni age yangu ya ukweli
birth certificate ntaweka kesho usjali na ukikuta ni kweli je JoanahKinachokufanya uonekane ni uongo ni unavyoukazania huo umri wako humu...sijui unaona ni kipi special kuhusu umri wako,unatumia nguvu kinyama watu humu wajue wewe ni mdogo!
Wewe ni mkubwa,19 huna udogo wowote
Unakuwa kama wale wanaojifanya wakuuuubwa humu yani mnaoboa kinyama mnaoongelea ongelea ukubwa na udogo wenu humu!
Haya weka cheti
#pOvU
Kijana, hapa watu huwa hawajadili mambo laini laini, na panafatiliwa na ma afisa vipenyo wengi.Sasa kuna mijadala inahusu taifa,na ukosoaji watu hawataki kujiweka katika wakati mgumu kipuuzi.Dah!mniambie kwanini people are not being real here in JF
And leo ndo nimeamini people are hated for being real and liked for being fake
" express your ideas openly"Dah!mimi sijawahi tumia Facebook napenda kujifunza niliona JF ni sehemu salamu ya kuexpress your ideas openly ukaeleweka kwa hiyo I'm young Ila sitaki kujifanya mdogo zaidi
📌📌..Main point ni kwamba hatuhitaji kujua umri wako/udogo/ukubwa wako humu....usitumie nguvu kuaminisha vitu visivyo na msingi wala kutuhusu
Ok,Ila unaamini hata ukiweka wrong identity wakiamua kukutafuta na maafisa huwezi patikana kwa upana wa teknolojia tulionaoKijana, hapa watu huwa hawajadili mambo laini laini, na panafatiliwa na ma afisa vipenyo wengi.Sasa kuna mijadala inahusu taifa,na ukosoaji watu hawataki kujiweka katika wakati mgumu kipuuzi.
Unaweza kuona kule juu kuna mtu kakwambia hayo mambo unayotaka mengi yako facebook.
Tambua pia hakuna anaekuchukia,watu wanakupa changamoto(challenge) kwa ulichokifanya.Hebu jaribu hata kuwauliza kaka zako juu ya hiki unachofanya kama watasema unafanya jambo la kishujaa.
Sio ajabu hata baba yako au mjomba wako yuko humi anaona unavyostaajabisha kwa kutafuta girlfriend huku mtandaoni....
Mkurya wa wapi wewe? Tarime au Serengeti?
Acha ujinga wewe dogoBut what I didn't notice before is that I'm the youngest person in JF I thought there would any other members of my age but now I'm finding myself alone
So I'll try to cope with the situation
People of my age are still in school
Saint Anne, mpaka leo hii nawakumbuka zaidi wanafunzi waliokuwa wanaboa kuliko wale wapole..Acha ujinga wewe dogo
Hizi thread hadi unaboa Sasa,,walikuambia ukifika basi uandike mfululizo Kama mharisho???
Muraa! Unapost sana! Watu wana hasira nawewe kwa post zako za kijinga, angalia wasikugheche!!@Saint Anne mpaka leo hii nawakumbuka zaidi wanafunzi waliokuwa wanaboa kuliko wale wapole..
Yeah nimekusikia Ila umefanya vema kuniambia acha ujinga,ntaacha na ntakuwa msikivu Ila mi huwa mbishi sana
[emoji23][emoji23]post za kijinga Ila wakifundishwa shule na wao wanaamini wametokana na sokwe wanakubaliMuraa! Unapost sana! Watu wana hasira nawewe kwa post zako za kijinga, angalia wasikugheche!!
All in all badilika la sivyo utaiona JF chungu sana.[emoji23][emoji23]post za kijinga Ila wakifundishwa shule na wao wanaamini wametokana na sokwe wanakubali
OK nothing to sayAll in all badilika la sivyo utaiona JF chungu sana.