Escrowseal1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 4,618
- 4,605
Hapana mkuu mimi ni.mkingaWe ni mpare au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana mkuu mimi ni.mkingaWe ni mpare au?
Acha ubahiliHapana mkuu mimi ni.mkinga
Hautakiwi kabisa sababu gear shift ya auto hutegemea pressure ya oil hivo ukiweka free oil inakuwa haisukumwi, ukiweka D gafla gari italazimisha kusukuma oil nyingi sababu ya speed.Habarini wandugu,
Je kuna madhari yoyote niki engage Neutral gear kwenye automatic transmission nikiwa nashuka mlima ili nisave wese?
Upo kwenye foleni ya mda mref unawekana neutralWadau naomba kuuliza kazi ya neutral kwenye gari nini au ninatumika wakati gani na madhara yake ni yapi
Msiwapangie watu lita ya mafuta bei juu au nasema uongo Extrovert 😁😁😁kuna wengine mtu ana gari ndogo ya cc 1500 tu eti kwenye folen ya dakika 10 anazima gari OFF akiamin ana save wese.. jaman gari ya cc 1500 silencer wala hakuna wese kihiiivyo sawasawa una habiru stater tu na tena kuwasha unaanza shtua engine upya ndio unasababisha mafuta yaende mengi tu
Haifiki km 15 maana mwika himo yenyewe km 13 mkuuKwetu Rombo...nikifika pale mwika naweka N Kuna almost Zaid ya km 15 natembelea N........but huwa na engage kwa umakini sana wakati naingiza na kuitoa
... kimsingi ulichouliza hapa kwa lugha ya Malkia kinaitwa "coasting". Gugu hilo neno utapata thousands of pages about the issue notably - What is coasting and why is it bad? | startrescue.co.uk and Coasting Meaning - driveJohnson'sHabarini wandugu,
Je kuna madhari yoyote niki engage Neutral gear kwenye automatic transmission nikiwa nashuka mlima ili nisave wese?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aliokuambia neutral inasave mafuta ni nani kaka? Pia hakuna dereva anaeshuka mlima gari ikiwa neutral maana gati inakuwa nyepesi sana na inazidi acceleration mara 2 ya ile iliokuwa nayo mwanzo kwa gari za automatic kuna muda mwingine brake zinajam na kuwa ngumu kukanyagika kwa manual transmission pia kuna muda zinakuwa ngumu ndio maana utakuta kwenye mlima lazima ushuke na gear tu brake za kunyunyizaHabarini wandugu,
Je kuna madhari yoyote niki engage Neutral gear kwenye automatic transmission nikiwa nashuka mlima ili nisave wese?
Aitumie N wakati wa kusukuma gari likiwa OFF