mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 4,072
- 12,119
- Thread starter
- #21
Hakika man ningejipinda hata 20k ningetoa.. š¤£. Sema dah inaniwazisha sana hiyo email.Mimi ningekutoza hela tu ili nione upo serious kiasi gani hapo lazima ka ten kangekutoka ila kwa huyo jamaa hahahaha! hapo anaona sio tu unataka kumtapeli bali unaitaka na roho yake kabisa!, so vita inatoka kwenye msimbo mpk kufika hatua yakuanza kuvaa hirizi pumuzi...š¤£