DR. MWAKABANJE
JF-Expert Member
- Nov 7, 2012
- 1,976
- 3,130
Lakini just imagine serikali angeridhia kuwa mtu akiamua kuacha kazi apewe mafao yake kungekuwa na mijadala ya namna hii??Naona wadau wanajitia jeuri ya kukopa bila kulipa. Vibaya hivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini just imagine serikali angeridhia kuwa mtu akiamua kuacha kazi apewe mafao yake kungekuwa na mijadala ya namna hii??Naona wadau wanajitia jeuri ya kukopa bila kulipa. Vibaya hivyo
Sasa kukopeshwa ukiwa mtumishi ni strategy ya kukufanya uendelee kufungwa na ajira kama unaona ajira ailipi uogope kuacha kazi kisa una mkopo benk? Mikopo yote INA bima watalipa. Cha muhimu ukiacha kazi bila shaka utatafuta njia nyingine ya kujiingizia kipato na sio mbaya kumtaarifu bank jinsi ambavyo unaweza kulika katika utaratibu ambao ni fair! Nimeona waajiri wanawanyanyasa watumishi na kuwatishia kisa eti ukiacha kazi bank watakufunga. Hakuna kitu kama hicho. Waajili wajifunze kukaa vizuri na watumishi at win-win situation ili kulinda pia marejesho ya benk zilizowakopesha, ikizingatiwa waliwakopesha ili kuwapa morali ya kumfanyia mwajiri kazi. Wakati ufike ata mwajiri awe responsible anapomletea figisu mwajiliwa kupelekea kuachakazi!Mkuu hutokopeshwa kama upo nje ya system na huo mkopo ulipo kopea
Usijidanganye ati huwa wanapiga tu simu wala hawakufatilii,
Nakushauri tu ufanye mbinu mbadala ya kulilipa hilo deni
Siku hizi wanaingizwa matatizoni kuanzia mkopaji hadi na familia inawekwa matatizoni
Usijipe kamoyo ati utakacha au kubadili namba za simu
Mkuu dawa ya deni ni kulipa tu popote uendapo ulipe tu
Hakuna sheria inayoruhusu mabenki kutumia defaulter's social benefits fund kulipia mkopo!Ok. Kama kuna mwenye ufafanuzi zaidi wa hili.. Mipaka yake ikoje
Kutishana tu wakat kuna mtu kasep mika na miaka na iliishia hapoHuo ni mkopo wa mtumishi wa serikali sio wa biashara
Dhamana yake ni kazi...na ndio mana akisepa hata wadhamin hawasumbuliwi kabisa ...
Mi nimeshuhudia wengi wengi tu wasepa zao na hakuna shida walopata....
Mpka waende nssf ww hujaivuta tu unangoja nn??Watakwenda kukomba NSSF yako wamalizie deni.
Ni mtumishi huyu,, hakuna dhamanKabla ya kukopa kunakua na Dhamana, dhamana yako ilikua nini????
Mtumishi dhamana yake ni salary yake na mwajiri wakeNi mtumishi huyu,, hakuna dhaman
Unawaitia Dr. Shika wanakaa chini.mkuu unawajua YONO?? wale wazee wa kutaifishazzz [emoji23][emoji23][emoji23]
UmemalizaKuna watu wawili wamejb kwa usahihi zaidi. Kwa ufupi, deni lina bima kwa hiyo pesa ya benki haipotei. Piili, Kila mtumishi ni mwanachama wa mfuko wa hifadhi ya jamii(NSSF,LAPF,PPF,nk) hivyo watashikilia pesa yako ya michango, kwa hiyo hata siku moja hawatahangaika na wewe. Lakini hii ni kwa mkopo wa mshahara tu, mikopo mingine ina namna zake za hatari sana.
Lengo la uzi huu ni kutaka kujua uhalisia wa wakopaji ambao ni wa Uma kwamba nini huwa kinafuata baada ya kuacha kazi wakiwa hawajamaliza kulipa mkopoWadau huu Uzi dhamira yake ni nini hasa?
Kwamba tukope kwa lengo lakutorudisha mkopo au?
Hahahaaaaa aisee nimependa ushuhuda wako ambao ni fleshMafao niliwaachia sijawauliza maana hata mil 4 haifiki sikukaa kazini sana, NBC huwa wananipigia wanasema uncle amebadili sheria hawawezi tena ku access mafao yangu kabla sijafikisha 45 hivyo wanaomba niwape manually nikawaambia sikukubaliana nanyi hivyo kimaandishi, Over
Ok Asante sana kwa uzoefu huu pia. Umenipa jibu mojawapo nzuri kabisa kwamba naweza lipa hata nikiwa nje ya systemKwasababu kunatofauti kati ya kuacha kazi na kuachishwa, Banks hazitaishia pia kwenye mafao, nipo Mwanza kuna mama mmoja aliacha kazi lakini CRDB nafikiri walimfuata na kumwambia awaeleze ni utararibu gani mpya atauchukua ili kuhakikisha deni linalipwa, pamoja na hati kuwa mdhamana wa 2. Mama kakubaliana nao kurejesha taratibu taratibu kila mwezi..kwakuwa makato ni machache.
Asante sana kwa mtazamo wako chanya katika kutafuta utatuzi wa changamoto niliyoiweka mezani.Sasa kukopeshwa ukiwa mtumishi ni strategy ya kukufanya uendelee kufungwa na ajira kama unaona ajira ailipi uogope kuacha kazi kisa una mkopo benk? Mikopo yote INA bima watalipa. Cha muhimu ukiacha kazi bila shaka utatafuta njia nyingine ya kujiingizia kipato na sio mbaya kumtaarifu bank jinsi ambavyo unaweza kulika katika utaratibu ambao ni fair! Nimeona waajiri wanawanyanyasa watumishi na kuwatishia kisa eti ukiacha kazi bank watakufunga. Hakuna kitu kama hicho. Waajili wajifunze kukaa vizuri na watumishi at win-win situation ili kulinda pia marejesho ya benk zilizowakopesha, ikizingatiwa waliwakopesha ili kuwapa morali ya kumfanyia mwajiri kazi. Wakati ufike ata mwajiri awe responsible anapomletea figisu mwajiliwa kupelekea kuachakazi!