Nawezaje kuacha kazi huku nina mkopo benki?

Nawezaje kuacha kazi huku nina mkopo benki?

Katika kitengo ninacho piga kazi.. Kuna jamaa zangu wawili waliacha kaz mwaka 2016 tena wote wote wakiwa na madeni Nmb,mmoja wapo akiwa amelipa mwaka mmoja tu. Na mwingine miaka miwili tu. Kumbuka mikopo yao wote wawili ilikuwa ya muda wa miaka 5.mpaka Leo tunawasiliana nao hawajafanywa lolote
Kumbe ni mwana kitengo mkuu
 
Hakuna sheria inayoruhusu mabenki kutumia defaulter's social benefits fund kulipia mkopo!

Hoja ya Nichumu Nibebike inaweza kutokea endapo kungekuwa na fao la kujitoa.

Inaelekea ni kana kwamba mabenki yameomba msaada wa Mifuko ya Kijamii na Waajiri kwa wale wanaoacha kazi na kwenda ku-claim Fao la Kujitoa.

Kama sikosei, unavyo-apply Fao la Kujitoa, Mwajiri kuna sehemu anatia baraka zake. So, kama una deni benki; kimsingi huo ni msala wa Mwajiri! Na kv Mwajiri hawezi kubeba msala wako wewe; kv umejipeleka mwenyewe atakachofanya Mwajiri ni kutia baraka zake kama kawaida na kukuchomea "NSSF" kwamba unadaiwa! In turn, NSSF badala ya kuandika cheque kwako; wataandika in favor of Mwajiri ili mkadaiane wenyewe kwa wenyewe!

Ukiwa weak; Mwajiri atatumia pesa husika kulipia mkopo na kama kuna change; unapewa!

Ukikomaa; Mwajiri hana mamlaka ya kutumia hiyo cheque kulipia huo mkopo! However, hapa itabidi utoe maelezo ya kueleweka ni namna gani unaweza kulipa huo mkopo endapo utaondoka na mafao yako!

Kama inaonekana ni mtu anayeaminika; unaweza kuachiwa uondoke na mpunga wako lakini ukaambiwa ulipe mkopo maybe within one year!

But remember; kwa maelezo yako ni kwamba unataka ku-abscond na kwa maana hiyo hapo huwezi kuwa na sifa ya kuaminika!!

REMEMBER, maelezo ni ikiwa umeenda ku-claim Fao la Kujitoa!

What if umesepa na kutoenda ku-claim?

No one will take that money kirahisi rahisi unless iwe wanafanya kinyume na sheria!

Na kv no one will take your money basi kuna uwezekano mkubwa wa mkopo huo kuwa hasara ya bank!

Sana sana hapo bank wanachoweza kukufanya ni kuku-blacklist kupitia Credit Bureau kwa sababu mabenki wanaamini wapo watu wanachukua mikopo ya wafanyakazi makusudi ili baadae wasipe!

Naona watu wanachukua poa sana suala la Credit Bureau! Trust me, institutions za Tanzania zikishaanza kuwa na nidhamu ya utendaji; suala la Credit Bureau wala sio la kuchukulia poa especially if you're still young with full of life!!

Kesho na keshokutwa unaweza kujikuta unakwamisha mambo yako kwa sababu tu ya mkopo wa cku za nyuma! If you're below 45, it's too early to say huwezi kuomba mkopo bank na ku-conclude kwamba all the Credit Bureau thing is just a bullshit!

However, haimaanishi uendelee kujifunga hapo kazini kwa sababu ya mkopo!

Btw, bado muda gani kumaliza huo mkopo? Or if you don't mind, unaweza kutaja kiasi kilichobaki for better advice!
Asante sana kwa ufafanuzi mzuri uliogusia sehemu nyingi.
 
Chige umeongea kila kitu,

Kwa kuongeza Naiomba Serikali itilie mkazo kama inavotilia mkazo katika kuhakikisha kila Bank inajiunga katika systems ambazo zinasaidia nchi kama ya juzi juzi Tanzania Revenue Collection System.

Serikali itilie mkazo kila Bank kutumia "CREDIT BUREAUS" ili kuepuka watu kama mleta mada!

Mleta Mada, Banks zote sasa hivi zinapeleka taarifa za wakopaji wao Bank Kuu kwenye system inaitwa "Credit Reference Data Bank" kila mwenzi na HII NI LAZIMA ! Halafu kunwa watu wanaitwa "CREDIT BUREAUS" hawa wanakaa katikati ya BAnk kuu na Mabank.

KWa sasa hivi hakuna ulazima kwa Banks kujiregister kwenye hizi Credit Bureaus na ukizingatia hali ya Non Performing Loans, naona kuna haja Serikali kkulazimisha kila Bank ijiunge na hizi Bureau na IWALAZIMISHE KUTOA REPORT YA KILA MKOPAJI KABLA HAIJAMPA MKOPO!

Na Bot wakienda kuaudit wahakikishe kwenye kila file la mkopaji kuna report inayoonyesha hakuna defaulter au mlipati mkorofi

Hii itapunguza kwa kiasi kikubwa wakopaji wasio waaminifu ! na wale ambao hawalipi mikopo yao na itasababaisha kupungua kwa Defaulters!

Enyi ndugu zangu! Dawa ya Kukopa ni Kulipa Deni! hakuna short cut usipolipwa Credit Bureau itakuanika na matokeo yake HAKUNA BANK ITAKAYOKUKOPESHA! na ukilipa vizuri KILA BANK ITAKUKIMBILIA KUTAKA KUKUKOPESHA!

HAKIKA CREDIT BUREAUS NI MKOMBOZI WA KUONESHA WALIPAJI WAZURI HATA UWE MKPAJI WA MILLION 1...
Hahahaaaaa sawa bwana mkomatembo. Namheshimu mtazamo wako kutegemeana na integrity uliyonayo
 
Kuna watu wawili wamejb kwa usahihi zaidi. Kwa ufupi, deni lina bima kwa hiyo pesa ya benki haipotei. Piili, Kila mtumishi ni mwanachama wa mfuko wa hifadhi ya jamii(NSSF,LAPF,PPF,nk) hivyo watashikilia pesa yako ya michango, kwa hiyo hata siku moja hawatahangaika na wewe. Lakini hii ni kwa mkopo wa mshahara tu, mikopo mingine ina namna zake za hatari sana.
Nashukuru kwa ufafanuzi wako
 
Heshima zenu wakuu

Nipo Pwani ya kupambana na ninataka kuchoma meli. Lakini tatizo kuna mpinzani mmoja ananivuta shati nyuma. Mpinzani huyo ni mkopo toka benki moja hivi mjini.

Hoja yangu ni hii kwenu wajuzi wa taratibu za utumishi bila kusahau wazoefu wa uhalisia.

Je, nikiacha kazi bila kufuata taratibu watamalizana na mwajiri au watamalizana na mimi?

Uhalisia ukoje?
mkuuu katika mkataba wakoo umesema unalipa kwa mshahara mkuuu naaa kama kazii ikiishaa basii wameliwa haooo ni tofautii na mkataba wa mkopo wa biashara unaosemaaaa kipatoo cha mkopo ni biasharaa na mdhamini husika palee unaposhindwaaa kulipa mkopoo wa biasharaa lkn Mkopo wa payrolee mdhaminiii au mrithi yupo kwaajili ya benefits za Bimaaa mkuuu

Lakini Munguu hapendii unachofanyaaaaaa mkuuu
 
Inakuwaje kama ni mtumishi wa serikali akiachishwa kazi huku akiwa na mkopo bank ambao mdhamini ni mwajiri
Je mwajiri ataajbika kulilipa deni?
 
mkuuu katika mkataba wakoo umesema unalipa kwa mshahara mkuuu naaa kama kazii ikiishaa basii wameliwa haooo ni tofautii na mkataba wa mkopo wa biashara unaosemaaaa kipatoo cha mkopo ni biasharaa na mdhamini husika palee unaposhindwaaa kulipa mkopoo wa biasharaa lkn Mkopo wa payrolee mdhaminiii au mrithi yupo kwaajili ya benefits za Bimaaa mkuuu

Lakini Munguu hapendii unachofanyaaaaaa mkuuu
Hahahaaaaa sawa mkuu asante kwa injili
 
Mkuu hutokopeshwa kama upo nje ya system na huo mkopo ulipo kopea
Usijidanganye ati huwa wanapiga tu simu wala hawakufatilii,
Nakushauri tu ufanye mbinu mbadala ya kulilipa hilo deni
Siku hizi wanaingizwa matatizoni kuanzia mkopaji hadi na familia inawekwa matatizoni
Usijipe kamoyo ati utakacha au kubadili namba za simu
Mkuu dawa ya deni ni kulipa tu popote uendapo ulipe tu
Kumbuka mkopo una bima. Kazi za bima ndo hizi.

Anachotakiwa kufanya sio kuacha kazi bali ni kufanya vituko mbali mbali kama utoro kazini kwa zaidi ya siku 5 mfululizo.

Akija kazini aje amelewa hata kama amekunywa chai tu, boss akimpa majukumu amtukane watamchoka na kumfukuza kazi.

Hapo BIMA italipa 100%
 
Aisee meipenda sana trick yako
 
  • Thanks
Reactions: y-n
Kumbuka mkopo una bima. Kazi za bima ndo hizi.

Anachotakiwa kufanya sio kuacha kazi bali ni kufanya vituko mbali mbali kama utoro kazini kwa zaidi ya siku 5 mfululizo.

Akija kazini aje amelewa hata kama amekunywa chai tu, boss akimpa majukumu amtukane watamchoka na kumfukuza kazi.

Hapo BIMA italipa 100%
Bonge moja la tango pori
 
Kuna watu wawili wamejb kwa usahihi zaidi. Kwa ufupi, deni lina bima kwa hiyo pesa ya benki haipotei. Piili, Kila mtumishi ni mwanachama wa mfuko wa hifadhi ya jamii(NSSF,LAPF,PPF,nk) hivyo watashikilia pesa yako ya michango, kwa hiyo hata siku moja hawatahangaika na wewe. Lakini hii ni kwa mkopo wa mshahara tu, mikopo mingine ina namna zake za hatari sana.
Na huo ndio ukweli,ukitaka kuifatilia pension yako lazima form ijazwe ulikokua unafanya kazi hapo ndipo utapojua kua umejiongezea matatizo maana riba ya mkopo inaongezeka kila mwezi na faini juu ya kuchelewesha kulipa!
 
Mafao yanini sasa kama umekaa kazini miaka 2 mafao hayafiki hata 10M yanini sasa?
 
Back
Top Bottom