Nawezaje kuacha kazi huku nina mkopo benki?

Sasa kukopeshwa ukiwa mtumishi ni strategy ya kukufanya uendelee kufungwa na ajira kama unaona ajira ailipi uogope kuacha kazi kisa una mkopo benk? Mikopo yote INA bima watalipa. Cha muhimu ukiacha kazi bila shaka utatafuta njia nyingine ya kujiingizia kipato na sio mbaya kumtaarifu bank jinsi ambavyo unaweza kulika katika utaratibu ambao ni fair! Nimeona waajiri wanawanyanyasa watumishi na kuwatishia kisa eti ukiacha kazi bank watakufunga. Hakuna kitu kama hicho. Waajili wajifunze kukaa vizuri na watumishi at win-win situation ili kulinda pia marejesho ya benk zilizowakopesha, ikizingatiwa waliwakopesha ili kuwapa morali ya kumfanyia mwajiri kazi. Wakati ufike ata mwajiri awe responsible anapomletea figisu mwajiliwa kupelekea kuachakazi!
 
Ok. Kama kuna mwenye ufafanuzi zaidi wa hili.. Mipaka yake ikoje
Hakuna sheria inayoruhusu mabenki kutumia defaulter's social benefits fund kulipia mkopo!

Hoja ya Nichumu Nibebike inaweza kutokea endapo kungekuwa na fao la kujitoa.

Inaelekea ni kana kwamba mabenki yameomba msaada wa Mifuko ya Kijamii na Waajiri kwa wale wanaoacha kazi na kwenda ku-claim Fao la Kujitoa.

Kama sikosei, unavyo-apply Fao la Kujitoa, Mwajiri kuna sehemu anatia baraka zake. So, kama una deni benki; kimsingi huo ni msala wa Mwajiri! Na kv Mwajiri hawezi kubeba msala wako wewe; kv umejipeleka mwenyewe atakachofanya Mwajiri ni kutia baraka zake kama kawaida na kukuchomea "NSSF" kwamba unadaiwa! In turn, NSSF badala ya kuandika cheque kwako; wataandika in favor of Mwajiri ili mkadaiane wenyewe kwa wenyewe!

Ukiwa weak; Mwajiri atatumia pesa husika kulipia mkopo na kama kuna change; unapewa!

Ukikomaa; Mwajiri hana mamlaka ya kutumia hiyo cheque kulipia huo mkopo! However, hapa itabidi utoe maelezo ya kueleweka ni namna gani unaweza kulipa huo mkopo endapo utaondoka na mafao yako!

Kama inaonekana ni mtu anayeaminika; unaweza kuachiwa uondoke na mpunga wako lakini ukaambiwa ulipe mkopo maybe within one year!

But remember; kwa maelezo yako ni kwamba unataka ku-abscond na kwa maana hiyo hapo huwezi kuwa na sifa ya kuaminika!!

REMEMBER, maelezo ni ikiwa umeenda ku-claim Fao la Kujitoa!

What if umesepa na kutoenda ku-claim?

No one will take that money kirahisi rahisi unless iwe wanafanya kinyume na sheria!

Na kv no one will take your money basi kuna uwezekano mkubwa wa mkopo huo kuwa hasara ya bank!

Sana sana hapo bank wanachoweza kukufanya ni kuku-blacklist kupitia Credit Bureau kwa sababu mabenki wanaamini wapo watu wanachukua mikopo ya wafanyakazi makusudi ili baadae wasipe!

Naona watu wanachukua poa sana suala la Credit Bureau! Trust me, institutions za Tanzania zikishaanza kuwa na nidhamu ya utendaji; suala la Credit Bureau wala sio la kuchukulia poa especially if you're still young with full of life!!

Kesho na keshokutwa unaweza kujikuta unakwamisha mambo yako kwa sababu tu ya mkopo wa cku za nyuma! If you're below 45, it's too early to say huwezi kuomba mkopo bank na ku-conclude kwamba all the Credit Bureau thing is just a bullshit!

However, haimaanishi uendelee kujifunga hapo kazini kwa sababu ya mkopo!

Btw, bado muda gani kumaliza huo mkopo? Or if you don't mind, unaweza kutaja kiasi kilichobaki for better advice!
 
Chige umeongea kila kitu,

Kwa kuongeza Naiomba Serikali itilie mkazo kama inavotilia mkazo katika kuhakikisha kila Bank inajiunga katika systems ambazo zinasaidia nchi kama ya juzi juzi Tanzania Revenue Collection System.

Serikali itilie mkazo kila Bank kutumia "CREDIT BUREAUS" ili kuepuka watu kama mleta mada!

Mleta Mada, Banks zote sasa hivi zinapeleka taarifa za wakopaji wao Bank Kuu kwenye system inaitwa "Credit Reference Data Bank" kila mwenzi na HII NI LAZIMA ! Halafu kunwa watu wanaitwa "CREDIT BUREAUS" hawa wanakaa katikati ya BAnk kuu na Mabank.

KWa sasa hivi hakuna ulazima kwa Banks kujiregister kwenye hizi Credit Bureaus na ukizingatia hali ya Non Performing Loans, naona kuna haja Serikali kkulazimisha kila Bank ijiunge na hizi Bureau na IWALAZIMISHE KUTOA REPORT YA KILA MKOPAJI KABLA HAIJAMPA MKOPO!

Na Bot wakienda kuaudit wahakikishe kwenye kila file la mkopaji kuna report inayoonyesha hakuna defaulter au mlipati mkorofi

Hii itapunguza kwa kiasi kikubwa wakopaji wasio waaminifu ! na wale ambao hawalipi mikopo yao na itasababaisha kupungua kwa Defaulters!

Enyi ndugu zangu! Dawa ya Kukopa ni Kulipa Deni! hakuna short cut usipolipwa Credit Bureau itakuanika na matokeo yake HAKUNA BANK ITAKAYOKUKOPESHA! na ukilipa vizuri KILA BANK ITAKUKIMBILIA KUTAKA KUKUKOPESHA!

HAKIKA CREDIT BUREAUS NI MKOMBOZI WA KUONESHA WALIPAJI WAZURI HATA UWE MKPAJI WA MILLION 1...
 
Kuna watu wawili wamejb kwa usahihi zaidi. Kwa ufupi, deni lina bima kwa hiyo pesa ya benki haipotei. Piili, Kila mtumishi ni mwanachama wa mfuko wa hifadhi ya jamii(NSSF,LAPF,PPF,nk) hivyo watashikilia pesa yako ya michango, kwa hiyo hata siku moja hawatahangaika na wewe. Lakini hii ni kwa mkopo wa mshahara tu, mikopo mingine ina namna zake za hatari sana.
 
Umemaliza
 
Wadau huu Uzi dhamira yake ni nini hasa?
Kwamba tukope kwa lengo lakutorudisha mkopo au?
Lengo la uzi huu ni kutaka kujua uhalisia wa wakopaji ambao ni wa Uma kwamba nini huwa kinafuata baada ya kuacha kazi wakiwa hawajamaliza kulipa mkopo
 
Hahahaaaaa aisee nimependa ushuhuda wako ambao ni flesh
 
Ok Asante sana kwa uzoefu huu pia. Umenipa jibu mojawapo nzuri kabisa kwamba naweza lipa hata nikiwa nje ya system
 
Mdhamini wa mkopo wako ni serikali kama mtumishi wa serikali, usipolipa inalipaga bila tatzo kwa sabab wao ndio walikudhamini.
Hahahaaaaa haya mkuu...
 
Naona wadau wanajitia jeuri ya kukopa bila kulipa. Vibaya hivyo
Ishu siyo bila kulipa. Bali napenda kujua nini huwa kinafanyika kuweka sawa jambo hilo.
 
Umemaliza wengi hawalijui ili kama kweli mtu unamalengo ya kufika mbali kibiashara huwezi kimbia mkopo kwa maana utakuwa umejiharibia kabisa Na hautokopesheka
Asante sana kwa ufafanuzi wenye nia ya kulinda future
 
Asante sana kwa mtazamo wako chanya katika kutafuta utatuzi wa changamoto niliyoiweka mezani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…