Nawezaje kuacha uvivu?

Nawezaje kuacha uvivu?

Anza kwa kutandika kitanda chako. Make sure kila asubuhi kitanda chako kinakuwa neat baada ya kuamka tu. Then proceed kwenye mambo mengine uhakikishe yanaenda.

Kufanya mambo inataka disciplined mind set sio akili za ukilaza.
 
Nawezaje nikaacha uvivu katika majukumu ya kazi na shughul nyingine?

Tuko pamoja mkuu
Binafsi ni mvivu wa majukumu ya kazini na shughuli zingine

Kwa sababu mwisho wa siku lazima kazi zifanyike nimejiwekea utaratibu wa kutolaza kazi

Kauli ya nitafanya badae itoe kwenye ratiba yako,hata kazi ikiwa ndogo namna gani usisubiri kesho
Unavyoziacha ndogo ndogo zinaongezeka na kuwa nyingi
 
UVIVU ...... hata ukilisoma kinyume ni mle mlee

Jitahidi ufanye jambo ambalo una interest nalo
 
Back
Top Bottom