Nawezaje kuachana na mwenza wa miaka mingi tuliyezaa watoto 5 pamoja?

Duh ukiona mtoto amefikia hatua ya kumuombea baba yake kifo ujue huyo baba alizingua sana
 
Duh ukiona mtoto amefikia hatua ya kumuombea baba yake kifo ujue huyo baba alizingua sana
Wanaume wanazingua sana hasa huko vijijini na mikoani...watoto washukuru kuna ardhi ya kulima na kupata angalau mlo hata kama ni hafifu...huko watoto wanaishi kama Jehanamu ikiwa bado ni duniani.
 
Yaani linapofika swala la kuachana ukiwa na watoto na mmeshapiga hatua za kifamilia there is no Option that will favour you.

Kila unaloamua lina hasara kwako.
Kuna hasara kidogo na hasara kubwa hiyo ya kuendelea kuwa pamoja ndo hasara kubwa kuliko maana mmoja akiua mwingine hao watoto hawatompenda aliyebaki maisha yao yote bila kujali km alikuwa sahihi ama la!!
 
Duh ukiona mtoto amefikia hatua ya kumuombea baba yake kifo ujue huyo baba alizingua sana
Wanaume wanazingua sana hasa huko vijijini na mikoani...watoto washukuru kuna ardhi ya kulima na kupata angalau mlo hata kama ni hafifu...huko watoto wanaishi kama Jehanamu ikiwa bado ni duniani.
 
hii 50/50 ni kwenye kula matunda tu ila linapokuja kwenye uwajibikaji na majukumu mwanaume ni lako 100% hivyo ikifikia hatua kama ya mleta mada ni vizuri kuwa makini sana usiumizwe tena kwa kisingizio cha matunzo ya watoto.
Hapo sasa ndio wanaume tumeumbwa mateso kuhangaika.
 
Kuna hasara kidogo na hasara kubwa hiyo ya kuendelea kuwa pamoja ndo hasara kubwa kuliko maana mmoja akiua mwingine hao watoto hawatompenda aliyebaki maisha yao yote bila kujali km alikuwa sahihi ama la!!
Nadhani Bado tunakumbuka misuko suko ya bilionea Dr R. Mengi mzee wetu.
 
Sasa hivi hujali hata kama ukioa na kuzalisha mara mia. Lakini ukifika uzeeni utakuwa na maisha ya majuto sana...
Unaweza usielewe hili muda huu, time will tell
 
Tayari uhusiano huu umezalisha watoto watano.

Wakuu tupeane maujanja ya namna ya kutoka kwenye mahusiano haya na matokeo yake (yote mazuri na mabaya) ya kuachana huko.

**Sitaki ushauri wa kurudiana maana maamuzi ya kuachana tayari yameshafanyika.
Yaani watoto watano unashindwa kumpuuzia huyo mke au mume halafu uendelee kuishi nae hapo hapo na watoto wenu?
Jioni yote hiyo unamuacha uende wapi sasa!!ukaanze upya mapenzi,je huko shida za kimapenzi hazitakuja?Chagua zimwi likujualo kuliko malaika usiyemjua.
 
Mpaka yamkute kama wazee wengine.

Kwa sasa ni kijana, ana nguvu, pesa anayo hatakuelewa.
Sasa hivi hujali hata kama ukioa na kuzalisha mara mia. Lakini ukifika uzeeni utakuwa na maisha ya majuto sana...
Unaweza usielewe hili muda huu, time will tell
 
Mpaka yamkute kama wazee wengine.

Kwa sasa ni kijana, ana nguvu, pesa anayo hatakuelewa.
Sasa hivi hujali hata kama ukioa na kuzalisha mara mia. Lakini ukifika uzeeni utakuwa na maisha ya majuto sana...
Unaweza usielewe hili muda huu, time will tell
 
Mpaka yamkute kama wazee wengine.

Kwa sasa ni kijana, ana nguvu, pesa anayo hatakuelewa.
Wazee waliokuwa kama yeye sasa hivi wanajuta. Na kutwa ni kuomba msamaha kwa watoto wao.
Babu yangu alikuwa hivyo. Kazaa kila kona ana watoto kama 50 hivi, alimwacha mke wake wa kwanza kwa majigambo na bila sababu yoyote ile akaenda kuoa mtoto mbichi, watoto wake wakaishi kwa shida sana tangu wakiwa wadogo.
Baada ya kuzeeka na kuanza kuumwa ndo anakumbuka kuomba msamaha kwa watoto na kwa mke wake wa kwanza. Hakuacha kuomba msamaha kila akiwaona..amekufa kwa majuto mengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…