Nawezaje kuachana na mwenza wa miaka mingi tuliyezaa watoto 5 pamoja?

Maskini Nafsi inamsuta. Hata hizo pesa mnazompa hana amani nazošŸ˜…šŸ˜…
 
A Living MiraclešŸ˜…šŸ˜…
 
Huo ni Ukatiri kumtia mtu mimba ndio kwanza ametoka operation hata miezi sita bado.

Ni matokeo ya watu kuwaza sana ngono kuliko mambo mengine.

Unachakata mtu kila siku kila wiki mwaka hadi mwaka huo ni ukatiri hakuna mapenzi hapo.

Operation ziko sasa, zamani watu walikuwa wanazaa kawaida tu vizuri.. sasa hivi njaa za madaktari, aina za vyakula na uzungu unasabisha wanawake kupenda kuzaa kwa operation.
 
Operation ziko sasa, zamani watu walikuwa wanazaa kawaida tu vizuri.. sasa hivi njaa za madaktari, aina za vyakula na uzungu unasabisha wanawake kupenda kuzaa kwa operation.
Kaka usitukane Mamba kabla hujavuka mto ......unasema ni njaa za Madaktari?šŸ˜…šŸ˜…šŸ˜…
 
Daah haya maisha bwana.......umemchakata mwenzio hadi umefikia watoto 5.

Ndio kusema hadi unafikisha uzao wa tano kulikuwa hakuna mapenzi?

Bado naamini kuna sababu nyingi za kuwaunganisha na kuendelea kuliko sababu kiduchu za kuwatenganisha.
Hata mi nashangaa five children si mmeshakuwa wazee.
 
Tayari uhusiano huu umezalisha watoto watano.

Wakuu tupeane maujanja ya namna ya kutoka kwenye mahusiano haya na matokeo yake (yote mazuri na mabaya) ya kuachana huko.

**Sitaki ushauri wa kurudiana maana maamuzi ya kuachana tayari yameshafanyika.
OK. Very simple. Mpe haki yake.
Halafu ukitoka hapo nje, ujue Ibilisi yupo hapo anakusubiri kwa hamu kubwa sana. Kila la kheri mkuu.
 
Kaka usitukane Mamba kabla hujavuka mto ......unasema ni njaa za Madaktari?šŸ˜…šŸ˜…šŸ˜…

Wakifanya operation wanapata posho zaidi. Kwa hiyo fasta tu utasikia wamemwambia watafanya upasuaji. Ndio first option, wakati mara nyingine mtu angeweza kujifungua kawaida.
 
Maelezo yako yamejaa shida kubwa, ila bado huoni kama uko na shida iliyosababishwa na hukohuko kutengana kwa wazazi wako.
 
Km maamuzi ya kuachana mmeshafanya, si kila mtu aelekee kwake.
Na maisha yaanze upyaa, kwa kila m1 wenu.
 
Tayari uhusiano huu umezalisha watoto watano.

Wakuu tupeane maujanja ya namna ya kutoka kwenye mahusiano haya na matokeo yake (yote mazuri na mabaya) ya kuachana huko.

**Sitaki ushauri wa kurudiana maana maamuzi ya kuachana tayari yameshafanyika.
kisa kuachana ni nini
 
Na hiyo watatuonaje imeua wengi sana.
Naona sisi bado bado sana asee kwny haya mambo. Naona wenzetu ni kawaida tu kukuta wamedivorce na wanaishi frsh tu kulea watoto wao....sisi tunawaza ile michango na zile mbwembwe kwny sherehe itakuajeee😠
 
Hujatoa sababu za kuachana kumbukeni Watoto ndio watakaopata shida ya kukosa malezi ya Wazazi wote wawili.
 
Jijibu kwanza haya maswali kabla ya kufikia hiyo hatua;
1. Watoto watalelewa na nani?
2. Yeyote atakaekuwa na hao watoto, je watoto watapata nafasi ya malezi ya mzazi ambae hatakuwa nao kikamilifu?
.
.
Kaeni chini wawili kama mlivyokutana myamalize(sio hapo nyumbani mlipopazoea)
 
Huyo bwana ni kama ameshajiwekea hitimisho- hapa amekuja kutuchosha tu na mambo yake. Ameshatekwa tayari bado tu kupotezwa.
 
Huyo bwana ni kama ameshajiwekea hitimisho- hapa amekuja kutuchosha tu na mambo yake. Ameshatekwa tayari bado tu kupotezwa.
Cha muhimu achanganye na ushauri wa wengine hapa then achambue ndio afanye maamuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…