Dodoma messengers
JF-Expert Member
- Aug 28, 2019
- 565
- 902
Uwakala unalipa sana,yaani umaskini wa mitaji ndiyo tatizo,but it pays much,ngoja tuendelee kudunduliza tutafikia hizo levo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dadeq hapo ndo kasheshe mitaji aiseeUnaweza kupata ila kutimiza masharti yao ndio shida mf wanataka uwe na mtaji wa kutosha kama 100m una deposit kiwandani alafu unapewa target ya kununua na kuuza labda creti 5000 per months
Lazima uwe na vifaa vya usafirishaji kama kirukuu, Truck au Krenta na pia Godown la kuifanzi mzigo wa kutosha
Kikubwa lazima uwe kwenye eneo ambalo hakuna distributor mwingine eneo ilo…
Being gani, nazihitajiMimi nauza Creti za TBL na Serengeti pia Soda za coca na Pepsi bei zuri tuuuh ninazo creti zaidi ya 100 nipo Hapa Dar es salaam.
Kuna umbali unaotakiwa kuwa Kwa distributor mmoja mpaka mwingine?Unaweza kupata ila kutimiza masharti yao ndio shida mf wanataka uwe na mtaji wa kutosha kama 100m una deposit kiwandani alafu unapewa target ya kununua na kuuza labda creti 5000 per months
Lazima uwe na vifaa vya usafirishaji kama kirukuu, Truck au Krenta na pia Godown la kuifanzi mzigo wa kutosha
Kikubwa lazima uwe kwenye eneo ambalo hakuna distributor mwingine eneo ilo…
Nasema haiwezekani. Nina uzoefu mkubwa kikazi na tbl, nbcl (coke). Naamini hata sbl hali ni hiyo.
Kwa wingi huo naamini unajipanga kuwa wakala.
Kuna taratibu unapaswa kuzifuata kabla ya huo uwakala na lazima waje kukukagua eneo la kazi, stoo, wafanyakazi, vitendea kazi km magari madogo ya kusambazia wateja (diliveries kwa wateja km baa, grocery nk)
Minimum capital kwa miaka niliyokuwa nafanya kazi ilikuwa 200,000m na hiyo inakuwa fixed kiwandani sio ya kuombea oda. Maana yake kutoa oda ya gari moja ilikuwa km 65m, hii ni tofauti na hizo.
Kumbuka ni dhamana yako siku kikitokea chochote kikaathiri biashara na yumkini vitendea kazi vya kampuni wana-seize hiyo fixed.
Hizo 1,000 cases utapata kwa wakala jirani.wanagawa uwakala kwa utaratibu maalum ili kuepuka kuingiliana kimaslahi au hadi wakala mzoefu awe ameonesha kuelemewa au anakiuka masharti.
Kukiuka masharti ya mkataba wao kunatosha kukufutia uwakala na kusimamisha huduma.
Mtafute wakala jirani au dealer wa tbl/maafisa masoko.
Tbl hawana kona kona km waswahili. Maboss ni makabulu na head ofisi iko dar na SA ndio kitovu cha yote kuanzia utawala na control ya magari nk. Itoshe kusema wako smart na wanajiamini na biashara zao. Hawababaishwi na kupoteza mteja msumbufu.
Mimi nauza Creti za TBL na Serengeti pia Soda za coca na Pepsi bei zuri tuuuh ninazo creti zaidi ya 100 nipo Hapa Dar es salaam.
Wanasema AGENT ndo ana hodhi brand ya kampuni husika,na ndo mana unakuta supplier wa ukanda mzima anakuwa mmoja,Wakuu habari zenu,
Nataka kuanza biashara ya vinywaji, maandalizi yote tayari.
Naomba msaada kwenu wadau najua mna uelewa mpana wa haya mambo, hivi Kwa wingi wa creti ninazotaka kuanza nazo siwezi kuletewa na kiwanda Moja kw Moja mpaka nilipo au mpaka nipitie Kwa maagent wao?
Afu unyooshe maelezo,TBL ni kret 1000 na serengeti ni kreti 1000 or kila kampuni una kreti 500@ @eachWakuu habari zenu,
Nataka kuanza biashara ya vinywaji, maandalizi yote tayari.
Naomba msaada kwenu wadau najua mna uelewa mpana wa haya mambo, hivi Kwa wingi wa creti ninazotaka kuanza nazo siwezi kuletewa na kiwanda Moja kw Moja mpaka nilipo au mpaka nipitie Kwa maagent wao?
We mwamba ni kaongo kwa asilimia 100%Kiwandani Bei juu zaidi kuliko kwa ma-Agent. Niliwahi kupata uzoefu pia kwa Serengeti lengo ni kuwasaidia Mawakala wao.
NB: pia viwanda vya Nondo na zile "simtank" kiwandani Bei inazidi bei kwa wakala
Gabari za mchana,sorry nakuomba what'sapp 0764955864 au inbox kuna kutu unisaidie kuhusu biashara TBLMimi nauza Creti za TBL na Serengeti pia Soda za coca na Pepsi bei zuri tuuuh ninazo creti zaidi ya 100 nipo Hapa Dar es salaam.
Ni kweli mkuu sijui wanatumia taratibu gani hawa jamaa. MkuuDuuuh! hii inakuaje hii?