Nawezaje kuagiza Moja Kwa Moja kutoka kiwandani TBL na SBL kreti 1000 nazohitaji kuanza nazo kibiashara?

Uwakala unalipa sana,yaani umaskini wa mitaji ndiyo tatizo,but it pays much,ngoja tuendelee kudunduliza tutafikia hizo levo.
 
Mimi nauza Creti za TBL na Serengeti pia Soda za coca na Pepsi bei zuri tuuuh ninazo creti zaidi ya 100 nipo Hapa Dar es salaam.
 
Unaweza kupata ila kutimiza masharti yao ndio shida mf wanataka uwe na mtaji wa kutosha kama 100m una deposit kiwandani alafu unapewa target ya kununua na kuuza labda creti 5000 per months
Lazima uwe na vifaa vya usafirishaji kama kirukuu, Truck au Krenta na pia Godown la kuifanzi mzigo wa kutosha

Kikubwa lazima uwe kwenye eneo ambalo hakuna distributor mwingine eneo ilo…
 
Dadeq hapo ndo kasheshe mitaji aisee

Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
 
Kuna umbali unaotakiwa kuwa Kwa distributor mmoja mpaka mwingine?
 

Kudadeki[emoji16]
 
Wanasema AGENT ndo ana hodhi brand ya kampuni husika,na ndo mana unakuta supplier wa ukanda mzima anakuwa mmoja,

Kwa kiwandani waliniambia ili uweze kuletewa Lazima uwe na uwezo wa kuagiza lile lori zima(lina beba Kreti 900)Pia inategemea na Wingi wa kreti unazotak kuletewa,kila la kheri jamaa.
 
Afu unyooshe maelezo,TBL ni kret 1000 na serengeti ni kreti 1000 or kila kampuni una kreti 500@ @each
 
Kiwandani Bei juu zaidi kuliko kwa ma-Agent. Niliwahi kupata uzoefu pia kwa Serengeti lengo ni kuwasaidia Mawakala wao.

NB: pia viwanda vya Nondo na zile "simtank" kiwandani Bei inazidi bei kwa wakala
We mwamba ni kaongo kwa asilimia 100%
 
Mimi nauza Creti za TBL na Serengeti pia Soda za coca na Pepsi bei zuri tuuuh ninazo creti zaidi ya 100 nipo Hapa Dar es salaam.
Gabari za mchana,sorry nakuomba what'sapp 0764955864 au inbox kuna kutu unisaidie kuhusu biashara TBL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…