Nawezaje kuanza biashara ya real estate Kwa mtaji wa viwanja nilivyo achiwa na Mzee ?

Nawezaje kuanza biashara ya real estate Kwa mtaji wa viwanja nilivyo achiwa na Mzee ?

The ice breaker

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2023
Posts
880
Reaction score
1,985
Wakuu habari

Kuna viwanja vitatu Mzee kanipa,
Kimoja kipo Mlandizi ndani ndani huko porini, kama unaenda bagamoyo

Kingine kipo ubungo external

Cha mwisho kipo kimara mwisho

Na Sina mpango wa kuuza hata kimoja , ila mpango mkubwa ni kuanza biashara ya Real Estate

Sasa, swali la msingi, kupitia hivyo viwanja vitatu mbavyo ni mtaji ( Asset) nawezaje kuanza biashara hiyo, Ili niweze ku generate faida ,
 
Back
Top Bottom