Nawezaje kuchagua Mwenzi sahihi?

Nawezaje kuchagua Mwenzi sahihi?

Wakuu Kama Uzi unavyojieleza Nawezaje
Kuchagua Mwenzi sahihi?

Au nsubiri Mke mwema kutoka kwa Bwana

Naomben ushauri Ilinifikie Malengo yakuowa
Jiangalie wewe ulivyo je unastahili kua na mwanamke wa aina gani.. ukiona haujakaa sawa jisahihishe alafu subiri Mungu akupe mke mwema kutoka kwake maana alisema atakupa wa kufanana nae.

Ila mwombe Mungu akukutanishe nae
 
Inakuwaje hiyo Mkuu
Hiyo wahindi ndo wanaitumia sana , inasemekana kulingana na nyota za watu husika bhasi Wanaangalia majina yao wafungie ndoa mwezi gani...

Nyota zikiambatana na miezi fulani bhasi wanaamini itakua ndoa yenye baraka

Japokua Taraka na Maugomvi huwa hayakwishi, Ni ishu za faith
 
Back
Top Bottom