Nawezaje kuchagua Mwenzi sahihi?

Nawezaje kuchagua Mwenzi sahihi?

Moyo waachie wahind kadr unavo kuwa na uyo ambayo umkpenda mwazo anakuofa vtu vzr sana kwanz yy ndy anakupenda anakuzalia watt weny afya maana anaupendo wakwl then atakuombea uish maisha marefu kwaiyo mm mategemeo yangu nitatoboa umr ya mzee mwiny
Hivi kumbe watu mnakula vitu vizuri na hamsemi😂
 
Mkuu, andika zote.
1. Asiwe mvivu wa kufanya kazi
2. Mcha Mungu
3. Heshima busara utii na ukarimu
4. Awe amelelewa na wazazi wote wawili
5. Awe na kazi kama hana awe tayari kufanya kazi ikipatikana
6. Awe muumini wa kawaida kanisani asiwe mtu wa kukesha kanisani
7. Na asiwe mwimbaji (either mwanakwaya au msanii)
 
Wangapi wamemshirikisha huyo Mungu ila hola.

Ni kujifariji tu.

Hayanaga fomula mahusiano.
Unajua walimshirikisha kwa namna gani...?
Mungu ana namna Yake ya kushirikishwa(kumuomba)
Sio unamuomba asubuhi halafu unategemea kupata majibu Jioni!! Haiko hivo
 
Back
Top Bottom