Nawezaje kuchagua Mwenzi sahihi?

Nawezaje kuchagua Mwenzi sahihi?

Wakuu Kama Uzi unavyojieleza Nawezaje
Kuchagua Mwenzi sahihi?

Au nsubiri Mke mwema kutoka kwa Bwana

Naomben ushauri Ilinifikie Malengo yakuowa
Hakuna maraika duniani, unaweza ukamchukua kanisani, au msikitini, na akawa shetani tu, na unaweza ukampata huku duniani, na akawa mzuri kama malaika,
Bottom line, tafuta mwenye kufanya shughuri ya ki uchumi, angalau hapa mjini, anaeleweka anafanya shughuri gani ya kipato, sio wale wasioeleweka, pili tafuta wa saizi yako, we kipato chako, chini ya milioni kwa mwaka, unatafuta binti mwenye salary ya 7M, kwa mwezi,
Winda maeneo ya vyuo, wale wahitimu, au waalimu, au hata hapo unapoishi,
Cha msingi jua hata wazazi wake wanaishi wapi, wapo mabinti/vijana wazuri Sana hapa mjini,
 
Ww mtafute atakae kuzalia mtot izo kutoka kwa Bwana utasubr mpaka nguvu za kiume ztakuwa zmesha kuishia
 
Wakuu Kama Uzi unavyojieleza Nawezaje
Kuchagua Mwenzi sahihi?

Au nsubiri Mke mwema kutoka kwa Bwana

Naomben ushauri Ilinifikie Malengo yakuowa

Kuna vigezo vingi Sana Ila kigezo kikubwa kuliko vyote angalia Kama huyo mchumba anafundishika
 
Ng
Wakuu Kama Uzi unavyojieleza Nawezaje
Kuchagua Mwenzi sahihi?

Au nsubiri Mke mwema kutoka kwa Bwana

Naomben ushauri Ilinifikie Malengo yakuowa
Oja nikae hapa! Nimechagua wanawake wa kuoa zaidi ya mara mbili lakini hola! Naweka mkao hapa
 
Hakuna maraika duniani, unaweza ukamchukua kanisani, au msikitini, na akawa shetani tu, na unaweza ukampata huku duniani, na akawa mzuri kama malaika,
Bottom line, tafuta mwenye kufanya shughuri ya ki uchumi, angalau hapa mjini, anaeleweka anafanya shughuri gani ya kipato, sio wale wasioeleweka, pili tafuta wa saizi yako, we kipato chako, chini ya milioni kwa mwaka, unatafuta binti mwenye salary ya 7M, kwa mwezi,
Winda maeneo ya vyuo, wale wahitimu, au waalimu, au hata hapo unapoishi,
Cha msingi jua hata wazazi wake wanaishi wapi, wapo mabinti/vijana wazuri Sana hapa mjini,
Asante kwa ushauri Mzuri mkuu🙏
 
Back
Top Bottom