Hakuna sehemu nimesema kuwa waliokwama hawakumshirikisha mungu...Na wewe ulijuaje na unajuaje kwamba waliokwama kwenye mahusiano yao, Hawaku mshirikisha huyo Mungu?
Jiangalie wewe ulivyo je unastahili kua na mwanamke wa aina gani.. ukiona haujakaa sawa jisahihishe alafu subiri Mungu akupe mke mwema kutoka kwake maana alisema atakupa wa kufanana nae.Wakuu Kama Uzi unavyojieleza Nawezaje
Kuchagua Mwenzi sahihi?
Au nsubiri Mke mwema kutoka kwa Bwana
Naomben ushauri Ilinifikie Malengo yakuowa
Hiyo wahindi ndo wanaitumia sana , inasemekana kulingana na nyota za watu husika bhasi Wanaangalia majina yao wafungie ndoa mwezi gani...Inakuwaje hiyo Mkuu
πππ siku ukiwa serious na hili suala nijulishe nikushauri japo mimi mwenyewe siwafahamu vizuri.3.Msafi
4.Mbyenyekevu
5.Ninajari
Ili ufike nchi ya ahadi unapaswa kupita kwa Mafarao kwanza. ππWakuu Kama Uzi unavyojieleza Nawezaje
Kuchagua Mwenzi sahihi?
Au nsubiri Mke mwema kutoka kwa Bwana
Naomben ushauri Ilinifikie Malengo yakuowa