Wakuu mpo
Kuna shida uku wadau Sisi wengine kubana matumizi ni pambo la lazima sasa kuna shida huku Kuna ofisi mbili zinajitegemea na zipo mbali mbali ila tunashare internet ya ZUKU.
Main router ipo ofisi moja sisi tuka connect na ethernet cable tukaonga na router nyingine Kuenye ofisi nyingine.
Shida inaanza hapo wenzetu Kule wakiondoka wanazima main router sisi internet hatupati inabidi mtu afunge satan! kwenda kuwaambia wasizime Kitu ambacho wao pia wanalalamika router inakula umeme yaan ikae usiku kucha adi Kerho.
sasa Kidume nikakaa chini Kupiga hesabu nikapata wazo nimuite fundi' umeme afunge switch moja huku Kwetu Kwenye main switch yetu Kisha Apeleke waya Kule Kuenye main router na switch nyIngine iwe kule Kule kwao Kisha 2 switches waya ziwe combined in OR Gate Combination {hapo sujui Kufaa gani ] wataweka Kisha iproduce output socket moja
Mean suitch zote 2 zikiwashwa main router itawaka moja ikizimwa router Itawaka na zote zikizimwa ndio main router izimike