Nawezaje kufuta historia mbaya ya mikopo CRB? Nimewaandikia email hawajibu

JimCarrey

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
231
Reaction score
151
Guys,

Naomba kufahamu namna ya kufuta historia mbaya ya mikopo CRB hili suala limekua linanigharimu sana nikihitaji kukopa taasisi nyingine za kifedha naambiwa Nina madeni sugu kwenye line zangu za simu

Ni kweli Nina madeni lakini hayajawa sugu sababu nimekuja nikiwalipa mara Kwa mara na wanaendelea kunikopesha kuthibitisha kua historia yangu ya ulipaji ni mzuri

Nimewaandikia email CRB wanieleze deni hasa linalonichafulia Ili ni deal nalo na hawajanijibu

Kama Kuna mtu ana mawasiliano yao au namna yoyote unaweza kunisaidia karibu.
 
Zitafute ofisi zao zilipo uende mwenyewe /physically.Kama una deni watakuonesha ulipe na wakuandikie barua ya kukamilisha madeni/clearance halafu uipeleke unapotaka kukopa.
 
Ingia website ya Credit Report - Creditinfo Tanzania
Ingia hapo personal credit report jaza taarifa zako za NIDA
Utapokea email yenye taarifa zako za madeni baada ya wiki 2 mpaka 4

IMG_8187.jpeg
 
Mdau ameshauli poa .sana .
Wewe ni mtumishi.
Hapana ila ukihitaji mkopo na kama una deni, “UTAWAJUA TU”
Madeni ya simu yanatesa sana kulipa BUSTISHA, NIVUSHE, SONGESHA
Unakuta unadaiwa 2,350/= hustle ya kuilipa Go n Return unatumia zaidi ya 60,000 mwezi mzima hadi miwili
 
Guys,

Naomba kufahamu namna ya kufuta historia mbaya ya mikopo CRB hili suala limekua linanigharimu sana nikihitaji kukopa taasisi nyingine za kifedha naambiwa Nina madeni sugu kwenye line zangu za simu

Ni kweli Nina madeni lakini hayajawa sugu sababu nimekuja nikiwalipa mara Kwa mara na wanaendelea kunikopesha kuthibitisha kua historia yangu ya ulipaji ni mzuri

Nimewaandikia email CRB wanieleze deni hasa linalonichafulia Ili ni deal nalo na hawajanijibu

Kama Kuna mtu ana mawasiliano yao au namna yoyote unaweza kunisaidia karibu.
Wewe utakua mtumishi wa umma lazima nikupe siri ile mikopo ya bank hua mnachukua mfn salary advance imeungwa na CRB direct
Epuka mikopo ya kwenye simu
 
Achana na hyo.

Mikono inayo saurika ni ile ya Mgodi, Songesha, Nibustishe, Nivushe.

Mtu akikopa hakumbuki tarehe ya marejesho, yeye anaona siku yeyote akiweka pesa atakatwa.

Mwishowe, bank ina muwekea red notes kua ni mteja asie mwaminifu.
 
mm nina vilaka vingi sana, Ndo sinaga hammu na hayo mamikopo, kuna kipindi Bank fulani waliingiza 400k kimakosa zikakaa miezi 2 nikapita nazo.

Lazima tu wamenitumbukiza kwemye wadaiwa sugu
No bank wangekukata bila kuwasilisha jina CRB. Na lazima ungejua coz loan officers wangekusaka.

Kwa uzoefu wangu Branch na ile mikopo ya simu mfano voda au Airtel ndiyo wanaweza submit mtu CRB.
 
Guys,

Naomba kufahamu namna ya kufuta historia mbaya ya mikopo CRB hili suala limekua linanigharimu sana nikihitaji kukopa taasisi nyingine za kifedha naambiwa Nina madeni sugu kwenye line zangu za simu

Ni kweli Nina madeni lakini hayajawa sugu sababu nimekuja nikiwalipa mara Kwa mara na wanaendelea kunikopesha kuthibitisha kua historia yangu ya ulipaji ni mzuri

Nimewaandikia email CRB wanieleze deni hasa linalonichafulia Ili ni deal nalo na hawajanijibu

Kama Kuna mtu ana mawasiliano yao au namna yoyote unaweza kunisaidia karibu.
Watanzania hawana utamaduni wa kusoma e mail. Hadi ziwe zinatoka kwa mabosi wao ndio wasome.

Wewe na ka e mail address kako ka gmail andika maumivu
 
No bank wangekukata bila kuwasilisha jina CRB. Na lazima ungejua coz loan officers wangekusaka.

Kwa uzoefu wangu Branch na ile mikopo ya simu mfano voda au Airtel ndiyo wanaweza submit mtu CRB.
Vipi kuhusu ile ya app za mitandaoni ?
 
Vipi kuhusu ile ya app za mitandaoni ?
Kwa uzoefu wangu nimefanya kazi kampuni ya wachina yenye hizi online loan.

Zote zinazomilikiwa na wachina hua hawaripoti CRB. Kama wameanza kuripoti basi baada ya mimi kuondoka.

The reason hawaripoti ni kwakua inabidi walipe CRB na kwa wao wanaona haina haja ya kulipa coz utapunguza faida na pia siyo guarantee kwamba mtu akiingizwa CRB atalipa.
 
OK mkuu hivi huwa kuna ofisi au ni online tu?
 
Back
Top Bottom