Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,410
- 114,823
Na usiwahi kufika huko mkuu maana ni hatari kwa afya yako ya akili.Huko ndo sijawahi kabisaaa na kwanza wale wezi tu TAARIFA zao hazifiki huko
Na usiwahi kufika huko mkuu maana ni hatari kwa afya yako ya akili.Huko ndo sijawahi kabisaaa na kwanza wale wezi tu TAARIFA zao hazifiki huko
Ofisi lazima ziwepo. Ni mkopo kutoka na marejesho ndiyo vinafanyika online. Unless ofisi iwe inakaribia kufungwa kwa nchi husika hapa sasa operations zinahamishwa nchi nyingine na nchi husika anaweza baki mtu mmoja au wawili kusimamia ufungajiOK mkuu hivi huwa kuna ofisi au ni online tu?
Sasa hii issue ni ndio life blood yako,nenda ofisini kwao wewe mwenyewe,kwanini uandike baria au uombe msaada?.Nenda na nyaraka zako zote,kaongee nao ana kwa anaGuys,
Naomba kufahamu namna ya kufuta historia mbaya ya mikopo CRB hili suala limekua linanigharimu sana nikihitaji kukopa taasisi nyingine za kifedha naambiwa Nina madeni sugu kwenye line zangu za simu
Ni kweli Nina madeni lakini hayajawa sugu sababu nimekuja nikiwalipa mara Kwa mara na wanaendelea kunikopesha kuthibitisha kua historia yangu ya ulipaji ni mzuri
Nimewaandikia email CRB wanieleze deni hasa linalonichafulia Ili ni deal nalo na hawajanijibu
Kama Kuna mtu ana mawasiliano yao au namna yoyote unaweza kunisaidia karibu.
Okay mkuuOfisi lazima ziwepo. Ni mkopo kutoka na marejesho ndiyo vinafanyika online. Unless ofisi iwe inakaribia kufungwa kwa nchi husika hapa sasa operations zinahamishwa nchi nyingine na nchi husika anaweza baki mtu mmoja au wawili kusimamia ufungaji