Zitafute ofisi zao zilipo uende mwenyewe /physically.Kama una deni watakuonesha ulipe na wakuandikie barua ya kukamilisha madeni/clearance halafu uipeleke unapotaka kukopa.Guys,
Naomba kufahamu namna ya kufuta historia mbaya ya mikopo CRB hili suala limekua linanigharimu sana nikihitaji kukopa taasisi nyingine za kifedha naambiwa Nina madeni sugu kwenye line zangu za simu
Ni kweli Nina madeni lakini hayajawa sugu sababu nimekuja nikiwalipa mara Kwa mara na wanaendelea kunikopesha kuthibitisha kua historia yangu ya ulipaji ni mzuri
Nimewaandikia email CRB wanieleze deni hasa linalonichafulia Ili ni deal nalo na hawajanijibu
Kama Kuna mtu ana mawasiliano yao au namna yoyote unaweza kunisaidia karibu.
Mdau ameshauli poa .sana .Ingia website ya Credit Report - Creditinfo Tanzania
Ingia hapo personal credit report jaza taarifa zako za NIDA
Utapokea email yenye taarifa zako za madeni baada ya wiki 2 mpaka 4
View attachment 3583820
Hapana ila ukihitaji mkopo na kama una deni, “UTAWAJUA TU”Mdau ameshauli poa .sana .
Wewe ni mtumishi.
Wewe utakua mtumishi wa umma lazima nikupe siri ile mikopo ya bank hua mnachukua mfn salary advance imeungwa na CRB directGuys,
Naomba kufahamu namna ya kufuta historia mbaya ya mikopo CRB hili suala limekua linanigharimu sana nikihitaji kukopa taasisi nyingine za kifedha naambiwa Nina madeni sugu kwenye line zangu za simu
Ni kweli Nina madeni lakini hayajawa sugu sababu nimekuja nikiwalipa mara Kwa mara na wanaendelea kunikopesha kuthibitisha kua historia yangu ya ulipaji ni mzuri
Nimewaandikia email CRB wanieleze deni hasa linalonichafulia Ili ni deal nalo na hawajanijibu
Kama Kuna mtu ana mawasiliano yao au namna yoyote unaweza kunisaidia karibu.
Wewe utakua mtumishi wa umma lazima nikupe siri ile mikopo ya bank hua mnachukua mfn salary advance imeungwa na CRB direct
Epuka mikopo ya kwenye simu
Umewalipa branch?
No bank wangekukata bila kuwasilisha jina CRB. Na lazima ungejua coz loan officers wangekusaka.mm nina vilaka vingi sana, Ndo sinaga hammu na hayo mamikopo, kuna kipindi Bank fulani waliingiza 400k kimakosa zikakaa miezi 2 nikapita nazo.
Lazima tu wamenitumbukiza kwemye wadaiwa sugu
Watanzania hawana utamaduni wa kusoma e mail. Hadi ziwe zinatoka kwa mabosi wao ndio wasome.Guys,
Naomba kufahamu namna ya kufuta historia mbaya ya mikopo CRB hili suala limekua linanigharimu sana nikihitaji kukopa taasisi nyingine za kifedha naambiwa Nina madeni sugu kwenye line zangu za simu
Ni kweli Nina madeni lakini hayajawa sugu sababu nimekuja nikiwalipa mara Kwa mara na wanaendelea kunikopesha kuthibitisha kua historia yangu ya ulipaji ni mzuri
Nimewaandikia email CRB wanieleze deni hasa linalonichafulia Ili ni deal nalo na hawajanijibu
Kama Kuna mtu ana mawasiliano yao au namna yoyote unaweza kunisaidia karibu.
Kwa njia hiyo,akubaliane na usumbufu.Ingia website ya Credit Report - Creditinfo Tanzania
Ingia hapo personal credit report jaza taarifa zako za NIDA
Utapokea email yenye taarifa zako za madeni baada ya wiki 2 mpaka 4
View attachment 3583820
Vipi kuhusu ile ya app za mitandaoni ?No bank wangekukata bila kuwasilisha jina CRB. Na lazima ungejua coz loan officers wangekusaka.
Kwa uzoefu wangu Branch na ile mikopo ya simu mfano voda au Airtel ndiyo wanaweza submit mtu CRB.
Nilishafanya ivyo kabla ya Kuja hapa kaka lakini sikupokea email yoyoteIngia website ya Credit Report - Creditinfo Tanzania
Ingia hapo personal credit report jaza taarifa zako za NIDA
Utapokea email yenye taarifa zako za madeni baada ya wiki 2 mpaka 4
View attachment 3583820
Kwa uzoefu wangu nimefanya kazi kampuni ya wachina yenye hizi online loan.Vipi kuhusu ile ya app za mitandaoni ?
OK mkuu hivi huwa kuna ofisi au ni online tu?Kwa uzoefu wangu nimefanya kazi kampuni ya wachina yenye hizi online loan.
Zote zinazomilikiwa na wachina hua hawaripoti CRB. Kama wameanza kuripoti basi baada ya mimi kuondoka.
The reason hawaripoti ni kwakua inabidi walipe CRB na kwa wao wanaona haina haja ya kulipa coz utapunguza faida na pia siyo guarantee kwamba mtu akiingizwa CRB atalipa.