Nawezaje kufuta historia mbaya ya mikopo CRB? Nimewaandikia email hawajibu

OK mkuu hivi huwa kuna ofisi au ni online tu?
Ofisi lazima ziwepo. Ni mkopo kutoka na marejesho ndiyo vinafanyika online. Unless ofisi iwe inakaribia kufungwa kwa nchi husika hapa sasa operations zinahamishwa nchi nyingine na nchi husika anaweza baki mtu mmoja au wawili kusimamia ufungaji
 
πŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ˜’πŸ˜’πŸ˜’πŸ˜’πŸ˜¬πŸ˜¬πŸ˜¬πŸ˜¬πŸ˜¬πŸ˜¬πŸ˜¬πŸ˜Ž
 
Sasa hii issue ni ndio life blood yako,nenda ofisini kwao wewe mwenyewe,kwanini uandike baria au uombe msaada?.Nenda na nyaraka zako zote,kaongee nao ana kwa ana
 
Ofisi lazima ziwepo. Ni mkopo kutoka na marejesho ndiyo vinafanyika online. Unless ofisi iwe inakaribia kufungwa kwa nchi husika hapa sasa operations zinahamishwa nchi nyingine na nchi husika anaweza baki mtu mmoja au wawili kusimamia ufungaji
Okay mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…