Daah Mzee usinikumbushe machungu, yaan tulibishabisha hapa kumbe kiama ndo kilikuwa kinanijia.. Sasa hv nimecertify Hadi cheti changu Cha ndoa kudadeq navyote nimeweka.
Utumishi sio poA
Umefanikiwa kutoa hyo application??Pale hakuna sehemu ya kudelete mkuu.we ulifanyaje?
Mie mwenyewe nimetoa boko hili hili nashauri mkuu tutulie tujiandae wasipotuita basi...Bado mkuu..
Pambna ufute other wise utakuwa disqualified jombi. Now's days wako strict hawa watu htari. Kama walikuwekea bold Kabsa.Nimefanya applications hizi nafasi mpya za TRA, nimeapply nafasi mbili ila utumishi wamesema tuombe nafasi moja tu hata kama mtu unaqualify zote. So nataka kuifuta nafasi moja ya Tax Management Officer ii na nibakishe custom officer ii pekee.
Naombeni msaada nikiziacha zote mbili kutakua na madhara,na je nikitaka kuifuta hiyo moja inayizidi nifanyaje?
Natanguliza shukrani zangu kwenu.
Haifutiki yan hapo kuomba dua tu na akisema sijui atoe barua moja ndio kabisa mana hujui system itasoma post ipi kati ya hzo mbili...Pambna ufute other wise utakuwa disqualified jombi. Now's days wako strict hawa watu htari. Kama walikuwekea bold Kabsa.
Kama unanguvu ya pesa fika Dodoma kabla muda wa kuapply kuisha Ili uweze kurekebisha hiloHaifutiki yan hapo kuomba dua tu na akisema sijui atoe barua moja ndio kabisa mana hujui system itasoma post ipi kati ya hzo mbili...
Mie mwenyewe nimefanya kosa hilo hilo naomba dua tu huku najiandaa kwa kusoma ikitokea wamechinja basi funzo
Mambo yatakua poaa Ila soma Ile ya kwanza sanaaHaifutiki yan hapo kuomba dua tu na akisema sijui atoe barua moja ndio kabisa mana hujui system itasoma post ipi kati ya hzo mbili...
Mie mwenyewe nimefanya kosa hilo hilo naomba dua tu huku najiandaa kwa kusoma ikitokea wamechinja basi funzo
Nimefanya applications hizi nafasi mpya za TRA, nimeapply nafasi mbili ila utumishi wamesema tuombe nafasi moja tu hata kama mtu unaqualify zote. So nataka kuifuta nafasi moja ya Tax Management Officer ii na nibakishe custom officer ii pekee.
Naombeni msaada nikiziacha zote mbili kutakua na madhara,na je nikitaka kuifuta hiyo moja inayizidi nifanyaje?
Natanguliza shukrani zangu kwenu.
Hongera sanaProblem solved
Wamefuta wenyewe..?Asante mkuu
Hongeraa mkuu ...upige msuli Sasa tukutane kaziniProblem solved
Aseeh umepambana sana.. mpange na yule jamaa mwingine alikuwa analialia hapa
Umesovu vipi mwamba funguka hapaProblem solved
Mimi hapa[emoji1787][emoji1787] jamaa aje basi afungukeAseeh umepambana sana.. mpange na yule jamaa mwingine alikuwa analialia hapa