Just Distinctions
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 3,322
- 6,998
hivi hizi barua zinaandikwa kwa mkono au typingKuifuta mwenyewe haiwezekan ila cha msingi unaweza kufanya kama una edit hiyo usiyoitaka then sehemu ya barua unaweka kitu chochote kisichohusiana na barua.
Wakija kukagua attachments watakuta hujaweka barua.automatically wanakupiga chini kwenye hiyo post.
Otherwise tembelea ofisi zao Dodoma.