Just Distinctions
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 3,322
- 6,998
hivi hizi barua zinaandikwa kwa mkono au typingKuifuta mwenyewe haiwezekan ila cha msingi unaweza kufanya kama una edit hiyo usiyoitaka then sehemu ya barua unaweka kitu chochote kisichohusiana na barua.
Wakija kukagua attachments watakuta hujaweka barua.automatically wanakupiga chini kwenye hiyo post.
Otherwise tembelea ofisi zao Dodoma.
Vyovyotehivi hizi barua zinaandikwa kwa mkono au typing
Si kila mtu lazima akufuate inbox jamaa, ni vizuri ungeandika hapa kwa msaada wa wengi. Nilitegemea umekuja kuleta solution kumbe unataka hadi ufuatwe inbox, hizo ni tabia za ubinafsi na roho mbaya. Toa solution mkuu achana hizo tabia jamaa yanguUstaarabu wa mtu unapimwaje mkuu?
Ni kwa kushinda jf na kujibu kila comment?
Mbona kuna wadau wameniuliza inbox na nimewajibu fresh tu?
Mbona msaada haukuombea inbox? Hapo bado haujapata kazi.Ustaarabu wa mtu unapimwaje mkuu?
Ni kwa kushinda jf na kujibu kila comment?
Mbona kuna wadau wameniuliza inbox na nimewajibu fresh tu?
Kwa kifupi hiyo issue, jamaa niliwapigia wakafuta wenyewe,baada ya kuwasumbua sana.Si kila mtu lazima akufuate inbox jamaa, ni vizuri ungeandika hapa kwa msaada wa wengi. Nilitegemea umekuja kuleta solution kumbe unataka hadi ufuatwe inbox, hizo ni tabia za ubinafsi na roho mbaya. Toa solution mkuu achana hizo tabia jamaa yangu