Achana na muonekano nenda kafanye kazi mkuu.kutumia muonekano kuingiza kipato ni ghari zaidiGenuine question, matusi sio uungwana.
Watu wanatumia akili zao, kipaji kuingiza hela.
Je kama unamuonekano mzuri, na unatake attention ya watu, unaeezaje kugeuza hiyo attention ya watu kua chanzo cha kipato, kihalali?
Kuna kada wa CHADEMA anaitwa James Delicious nadhani anaweza kukushauri kitaalamu zaidi. Mtafute.Genuine question, matusi sio uungwana.
Watu wanatumia akili zao, kipaji kuingiza hela.
Je kama unamuonekano mzuri, na unatake attention ya watu, unaeezaje kugeuza hiyo attention ya watu kua chanzo cha kipato, kihalali?
😂😂😂 Kwa nini mkuu?One man down.
Marinda kwisha.
If you are a woman, new prostitute in town.