Nawezaje kuifanya LED TV kuwa smart TV?

Nawezaje kuifanya LED TV kuwa smart TV?

dyuteromaikota

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
5,929
Reaction score
8,327
Msaada watabe wa hizi mambo.

Nimekutana na hii kitu online, Je kitanisaidia? Nimesita kidogo kutokana na bei yake nahisi kama ipo chini kidogo,
Msaada please.

Screenshot_20220404-235430_KiKUU.jpg
 
ilo swali lako ni sawa na mtu aulize
'nawezaje kuifanya gari iwe land cruiser'
Kwenye Electronics Kila kitu kinawezekana kwa sababu ni either unaongeza Circuit au unapunguza idadi ya Circuit! Muwe mnajifunza kidogo haya mambo sio mnakurupuka kujaza server za JF .Ata TV za zamani za Tube zenye Audio/Video in puts ports kwa kutumia IPTV boxes inaweza kuwa smart TV ! Kama una TV ya zamani unataka iwe smart ni 100000 tu👇

05456F5C-A654-4A87-ADCE-A7386233DCE3.jpeg
 
Ficha upumbavu wako. Kwenye Electronics Kila kitu kinawezekana kwa sababu ni either unaongeza Circuit au unapunguza idadi ya Circuit! Muwe mnajifunza kidogo haya mambo sio mnakurupuka kujaza server za JF .Ata TV za zamani za Tube zenye Audio/Video in puts ports kwa kutumia IPTV boxes inaweza kuwa smart TV ! Kama una TV ya zamani unataka iwe smart ni 200000 tu👇

View attachment 2176161
soma tena vizuri nilichoandika
 
Back
Top Bottom