dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,929
- 8,327
- Thread starter
- #41
Nachukua mkuu, thanksMleta mada chukua miongozo...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nachukua mkuu, thanksMleta mada chukua miongozo...
Ungeweka contacts zake kwa faida ya wengi, thanks.Kuna jamaa yupo China plaza Kariakoo ndio kazi zake hizi.
Kwa data hizi za kipimo kweli kuna kitu tutaona?Kuna jamaa yupo China plaza Kariakoo ndio kazi zake hizi.
Bado upo masika kaka?Karibu sana! Tupo karibu na maeneo ya Masika
Mkuu weka mawasiliano yenu basi tuwatafute maanake Masika ni kubwa hapo MoroKaribu sana! Tupo karibu na maeneo ya Masika
tumia nini!? Nahangaika leo, niset mipango mapema nione ligi kuu uingereza, nipo sehemu hakuna cha dstv wala nini, nami kutizama mpira kwenye simu haunogi lakini pia nimepata wadau kadhaa wanatakka tuone boli leoNimetumia 42,000 tu. Ku-ibadilisha TV yangu kuwa Smart !
Sasa hivi ni mwendo wa NETFLIXXX mwanzo mwishooo
View attachment 2176157
Uko wapi mzee?
Hapa kibongo bongo siwezi kupata, leo nimekwama nahitaji kutizama game ya arsenal usiku, nimechukua cable ya hdtv, tv ya dukani fresh inaonesha ila ya maskani inagoma.Kama unataka ku enjoy smart features achana na tv box za kichina ambazo hazina Android tv.
Kwa soko la Aliexpress tafuta mi tv stick kama 70,000 hivi.
Kwa soko la marekani Tafuta onn streaming stick ya walmart ama Amazon fire stick hizi ukijua kucheza nazo mpaka TZ ni kama 80,000.
Android tv ipo optimized kwa ajili ya tv inakuwa rahisi kunavigate, kutype, kusearch compare na android za kawaida.
Vipi simu huwezi tumia? Huna simu yenye usb 3?Hapa kibongo bongo siwezi kupata, leo nimekwama nahitaji kutizama game ya arsenal usiku, nimechukua cable ya hdtv, tv ya dukani fresh inaonesha ila ya maskani inagoma.
Hakuna solution nyingine?
Nipaaie mawasiliano yakeKuna jamaa yupo China plaza Kariakoo ndio kazi zake hizi.
Naweza, lakini nataka simu idisplay kwenye tv sababu nimepata wadau kadhaa lakin pia kutizama mpira kwenye simu huwa naboreka.Vipi simu huwezi tumia? Huna simu yenye usb 3?
Sawa mkuu maana usb 3 unachukua tu cable unaconect na tv hakuna mlolongo mwingi.Naweza, lakini nataka simu idisplay kwenye tv sababu nimepata wadau kadhaa lakin pia kutizama mpira kwenye simu huwa naboreka.
Simu yangu ina usb 2.0, huawei COR-AL10
Utakuwa umenifaa saana.Sawa mkuu maana usb 3 unachukua tu cable unaconect na tv hakuna mlolongo mwingi.
Ngoja kuna jamaa nitamcheki kama anavyo vya Kichina vya bei rahisi.
Simu hio hio ama simu tofauti?Nilipata type c to hdmi(HDTV cable) kwenye tv nyingine fresh ila nikiweka kwangu inagoma,shida nini.
Natest dukani pale freeesh, nikienda mtaani inagoma.
Kulikuwa na box za 60k zimeisha, zimebaki za 90k, Mxq pro 128GB.Utakuwa umenifaa saana.
Sasa umenipa umuhimu wa usb 3, simu hii naipenda saana niliapa kutokubadili mpaka ife kabisa, ishakufa kioo mara mbili nikarekebisha, mke wangu nae anaipenda kinooma, nilimpa kishingo upande akaibomoa kioo, nilipochukua kuitengeneza ndio bye bye kabaki anaikumbushia tu simu yakke.
Lakini kwa hili wacha nibadili tu.
Simu hii hii moja.Simu hio hio ama simu tofauti?
Hawezi kupoza?Kulikuwa na box za 60k zimeisha, zimebaki za 90k, Mxq pro 128GB.
Duka la jumla sidhani, zinakuwa na version za 8gb na 16gb unaweza pata bei rahisi kwengine ukizunguka.Hawezi kupoza?