Nawezaje kuifanya LED TV kuwa smart TV?

Nawezaje kuifanya LED TV kuwa smart TV?

Kwenye Electronics Kila kitu kinawezekana kwa sababu ni either unaongeza Circuit au unapunguza idadi ya Circuit! Muwe mnajifunza kidogo haya mambo sio mnakurupuka kujaza server za JF .Ata TV za zamani za Tube zenye Audio/Video in puts ports kwa kutumia IPTV boxes inaweza kuwa smart TV ! Kama una TV ya zamani unataka iwe smart ni 100000 tu👇

View attachment 2176161
Humu mkuu wajuaji ni wengi mno,unabaki kuwaacha na ujuaji wao tu,mtu hajui kwa tech ya sasa hata chogo inawezekana kuwa smart halafu anajiona anajuaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Kama unataka ku enjoy smart features achana na tv box za kichina ambazo hazina Android tv.

Kwa soko la Aliexpress tafuta mi tv stick kama 70,000 hivi.

Kwa soko la marekani Tafuta onn streaming stick ya walmart ama Amazon fire stick hizi ukijua kucheza nazo mpaka TZ ni kama 80,000.

Android tv ipo optimized kwa ajili ya tv inakuwa rahisi kunavigate, kutype, kusearch compare na android za kawaida.
 
Nashukuru sana mkuu. Be blessed
 
Uzi mzuri sana ila kuna wajuaji zaidi badala ya kutoa elimu wana kazi ya kutoa majivuno mara land cruiser [emoji35]
Sidhani kama kafanya ujuaji ila amempa jamaa ''task'' ili awe na uelewa zaidi. Amekosea kuuliza japo ameeleweka. Ni vizuri mtu anapokosea aelekezwe na asiachwe arudie makosa yake. Kuelekeza siyo majivuno. Watanzania hatupendi kabisa kuonekana kuwa hatujui!
 
Kama unataka ku enjoy smart features achana na tv box za kichina ambazo hazina Android tv.

Kwa soko la Aliexpress tafuta mi tv stick kama 70,000 hivi.

Kwa soko la marekani Tafuta onn streaming stick ya walmart ama Amazon fire stick hizi ukijua kucheza nazo mpaka TZ ni kama 80,000.

Android tv ipo optimized kwa ajili ya tv inakuwa rahisi kunavigate, kutype, kusearch compare na android za kawaida.
Alie elewa anijuze jamani
 
Alie elewa anijuze jamani
Kwenye hizi TV box za android, kuna zinazotumia android OS ya simu ambayo haijaundwa Kwa ajili ya TV,

Halafu kuna ambazo zinatumia AndroidTV Os, hii imetengenezwa Kwa ajili ya TV na utumiaji wake ni rahisi.

Kuna kampuni ambazo zimethibitishwa na Google kutumia Android TV OS, mfano TCL, Xiaomi, hisense nk, unaweza kuziona kwenye link.

Kama TV box au TV ya smart ya android haipo kwenye hiyo orodha basi hiyo jua kuwa inaweza ikawa inatumia android inayotumika kwenye simu.
 
Back
Top Bottom