dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,929
- 8,327
Thanks mkuu, kuseti ni kazi ngumu? Uliposema fundi nimewaza kuna kuifungua tv kitu ambacho sitakipendaChukua hicho, mie niliagiza nikatumia jumla kama 42,000 hivi...
Sema tafuta fundi wa FLAT screen aje akusetie... Sasa hivi naenjoy utamu wa Smart TV kwenye HISENSE LED nilonunua 400,000 tu.
View attachment 2175960
Sidhani kama upo sahihi ila nashukuru kuna mtu kanielewa na kanipa jibu. Thanksilo swali lako ni sawa na mtu aulize
'nawezaje kuifanya gari iwe land cruiser'
Kubali kujifunza bwashee, smart TV ni LED TVSidhani kama upo sahihi ila nashukuru kuna mtu kanielewa na kanipa jibu. Thanks
Sijakataa unaweza ukawa sahihi, nnachisema kuna mtu kanielewa. Swala hapa si kuwa na uelewa wa tv, swala ni tv yangu iwe smartkubali kujifunza bwashee, smart TV ni LED TV
Huna uelewa wa Smart vs LED TV, ndiyo maana nimekusahihisha chiefsi kuwa na uelewa wa tv
Shukran mkuu, bei zake zinaweza kuwaje?Nunua kitu kinaitwa TV box
Kuna mi TV box
Amazon fire stick
Hapo utakua umemaliza Kila kitu
Msaada watabe wa hizi mambo.
Nimekutana na hii kitu online, Je kitanisaidia? Nimesita kidogo kutokana na bei yake nahisi kama ipo chini kidogo,
Msaada please.
View attachment 2175958
ilo swali lako ni sawa na mtu aulize
'nawezaje kuifanya gari iwe land cruiser'
Hili ndo la msingi kabisa. Mimi nilinunuaga aliexpress kwenye sale. Nilipata ya 16gb kwa ram 2gb ilikua nadhani kwenye 40k hiviNunua kitu kinaitwa TV box
Kuna mi TV box
Amazon fire stick
Hapo utakua umemaliza Kila kitu
The People v. O. J. Simpson: American Crime StoryNimetumia 42,000 tu. Ku-ibadilisha TV yangu kuwa Smart !
Sasa hivi ni mwendo wa NETFLIXXX mwanzo mwishooo
View attachment 2176157
"If it doesn't fit, you must acquit":The People v. O. J. Simpson: American Crime Story
Kwenye Electronics Kila kitu kinawezekana kwa sababu ni either unaongeza Circuit au unapunguza idadi ya Circuit! Muwe mnajifunza kidogo haya mambo sio mnakurupuka kujaza server za JF .Ata TV za zamani za Tube zenye Audio/Video in puts ports kwa kutumia IPTV boxes inaweza kuwa smart TV ! Kama una TV ya zamani unataka iwe smart ni 100000 tu👇ilo swali lako ni sawa na mtu aulize
'nawezaje kuifanya gari iwe land cruiser'
soma tena vizuri nilichoandikaFicha upumbavu wako. Kwenye Electronics Kila kitu kinawezekana kwa sababu ni either unaongeza Circuit au unapunguza idadi ya Circuit! Muwe mnajifunza kidogo haya mambo sio mnakurupuka kujaza server za JF .Ata TV za zamani za Tube zenye Audio/Video in puts ports kwa kutumia IPTV boxes inaweza kuwa smart TV ! Kama una TV ya zamani unataka iwe smart ni 200000 tu👇
View attachment 2176161
Nnazo hizi bei ni elfu 50 zipo 10 kama unataka nicheck Dar au MoroShukran mkuu, bei zake zinaweza kuwaje?
Sawa ngoja nirekebishe sorry mkuu🙏🏽soma tena vizuri nilichoandika