Nawezaje kuifanya LED TV kuwa smart TV?

Mkuu ume
Nimetumia 42,000 tu. Ku-ibadilisha TV yangu kuwa Smart !

Sasa hivi ni mwendo wa NETFLIXXX mwanzo mwishooo
View attachment 2176157
tumia nini!? Nahangaika leo, niset mipango mapema nione ligi kuu uingereza, nipo sehemu hakuna cha dstv wala nini, nami kutizama mpira kwenye simu haunogi lakini pia nimepata wadau kadhaa wanatakka tuone boli leo
 
Hapa kibongo bongo siwezi kupata, leo nimekwama nahitaji kutizama game ya arsenal usiku, nimechukua cable ya hdtv, tv ya dukani fresh inaonesha ila ya maskani inagoma.

Hakuna solution nyingine?
 
Vipi simu huwezi tumia? Huna simu yenye usb 3?
Naweza, lakini nataka simu idisplay kwenye tv sababu nimepata wadau kadhaa lakin pia kutizama mpira kwenye simu huwa naboreka.

Simu yangu ina usb 2.0, huawei COR-AL10
 
Naweza, lakini nataka simu idisplay kwenye tv sababu nimepata wadau kadhaa lakin pia kutizama mpira kwenye simu huwa naboreka.

Simu yangu ina usb 2.0, huawei COR-AL10
Sawa mkuu maana usb 3 unachukua tu cable unaconect na tv hakuna mlolongo mwingi.

Ngoja kuna jamaa nitamcheki kama anavyo vya Kichina vya bei rahisi.
 
Sawa mkuu maana usb 3 unachukua tu cable unaconect na tv hakuna mlolongo mwingi.

Ngoja kuna jamaa nitamcheki kama anavyo vya Kichina vya bei rahisi.
Utakuwa umenifaa saana.

Sasa umenipa umuhimu wa usb 3, simu hii naipenda saana niliapa kutokubadili mpaka ife kabisa, ishakufa kioo mara mbili nikarekebisha, mke wangu nae anaipenda kinooma, nilimpa kishingo upande akaibomoa kioo, nilipochukua kuitengeneza ndio bye bye kabaki anaikumbushia tu simu yakke.

Lakini kwa hili wacha nibadili tu.
 
Nilipata type c to hdmi(HDTV cable) kwenye tv nyingine fresh ila nikiweka kwangu inagoma,shida nini.
Natest dukani pale freeesh, nikienda mtaani inagoma, na zoote ni tv za kichina, hii homebase sijui ila solarmax

Chief-Mkwawa
 
Kulikuwa na box za 60k zimeisha, zimebaki za 90k, Mxq pro 128GB.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…