Nawezaje kuingiza pesa kupitia pikipiki..?

Nawezaje kuingiza pesa kupitia pikipiki..?

Short Boe

Member
Joined
Nov 15, 2021
Posts
19
Reaction score
14
Habari,
Poleni na majukumu Nina pikipiki yangu aina ya TVS 125 hivi ni mchongo gani wa pesa naweza kuufanya kupitia pikipiki hii ukiachana na Bodaboda

IMG_20230905_171407_2.jpg


Wataalam nipeni michongo mdogo wenu
 
Back
Top Bottom