Short Boe Member Joined Nov 15, 2021 Posts 19 Reaction score 14 Sep 20, 2023 #1 Habari, Poleni na majukumu Nina pikipiki yangu aina ya TVS 125 hivi ni mchongo gani wa pesa naweza kuufanya kupitia pikipiki hii ukiachana na Bodaboda Wataalam nipeni michongo mdogo wenu
Habari, Poleni na majukumu Nina pikipiki yangu aina ya TVS 125 hivi ni mchongo gani wa pesa naweza kuufanya kupitia pikipiki hii ukiachana na Bodaboda Wataalam nipeni michongo mdogo wenu
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 26,961 Reaction score 77,890 Sep 20, 2023 #2 Nenda kwenye maduka makubwa kama 5 waambie utakua unawafanyia delivery kwa bei ndogo. Uwe unakodisha kwa siku, saa au week mtu anakulipa. Anaendesha yeye.
Nenda kwenye maduka makubwa kama 5 waambie utakua unawafanyia delivery kwa bei ndogo. Uwe unakodisha kwa siku, saa au week mtu anakulipa. Anaendesha yeye.
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 23,928 Reaction score 63,499 Sep 20, 2023 #3 Delivery ndo kila kitu
Short Boe Member Joined Nov 15, 2021 Posts 19 Reaction score 14 Sep 20, 2023 Thread starter #4 Mad Max said: Nenda kwenye maduka makubwa kama 5 waambie utakua unawafanyia delivery kwa bei ndogo. Uwe unakodisha kwa siku, saa au week mtu anakulipa. Anaendesha yeye. Click to expand... Hi ipo vizuri pamoja sana kaka
Mad Max said: Nenda kwenye maduka makubwa kama 5 waambie utakua unawafanyia delivery kwa bei ndogo. Uwe unakodisha kwa siku, saa au week mtu anakulipa. Anaendesha yeye. Click to expand... Hi ipo vizuri pamoja sana kaka
Short Boe Member Joined Nov 15, 2021 Posts 19 Reaction score 14 Sep 20, 2023 Thread starter #5 DR HAYA LAND said: Delivery ndo kila kitu Click to expand... Nimekupata kiongozi shukrani