emmarki JF-Expert Member Joined Nov 22, 2012 Posts 1,001 Reaction score 1,430 Sep 21, 2024 #1 Mdogo wangu ni muandishi wa habari wa kujitegemea, ana online TV, YouTube channel Anawezaje kutengeneza pesa kwa kutumia karama yake ya uandishi wa habari wa kujitegemea. Wenye ABC naomba....
Mdogo wangu ni muandishi wa habari wa kujitegemea, ana online TV, YouTube channel Anawezaje kutengeneza pesa kwa kutumia karama yake ya uandishi wa habari wa kujitegemea. Wenye ABC naomba....
Mr. Purpose JF-Expert Member Joined Nov 12, 2016 Posts 1,468 Reaction score 2,767 Sep 22, 2024 #2 Hiyo ni kwa mtu aliye serious na yupo tayari kujifunza kwa moyo mmoja. Kama una wasiwasi nayo hata usipige simu kuuliza chochote. Karibu sana.
Hiyo ni kwa mtu aliye serious na yupo tayari kujifunza kwa moyo mmoja. Kama una wasiwasi nayo hata usipige simu kuuliza chochote. Karibu sana.