Nawezaje kuirudisha meseji nilitotuma kwenye yahoo messenger !! ndoa iko hatarini!

Green!
Mkono wako ukikukosesha ukate kabisa ili usiwe nao na kuwa shinikizo ukapasuka bure mishipa ya damu kama Kolimba.Bado tunakuhitaji.
Nenda katubu kwa mkeo
 
Green!
Mkono wako ukikukosesha ukate kabisa ili usiwe nao na kuwa shinikizo ukapasuka bure mishipa ya damu kama Kolimba.Bado tunakuhitaji.
Nenda katubu kwa mkeo

Green,

1. Jambo moja -je mke wako akikusamehe je utaacha? Na kama usingekosea na kuwa ktk trap je ungekuwa tayari kumjulisha kuwa unacheat kwake hata kama asingefanhamu?

2. Ndoa ya Kiislamu au Kikristo? Kama u mwislamu na unataka kuoa mke wa pili- mjulishe tu mke wako hatakukatalia. Ila unasema ndoa yako changa!
 
Kwanza nakupa five kamanda.Hii ni kama ile nilituma msg ya mupenzi kwa mom,ilikuwa kimbembe mwanawane.

Mkuu hata usiwe na wasi wasi na soo hili kwa mkeo,najua unafahamu weakness zake zitumie hapo hapo hawa viumbe ni watu wenye huruma sana atakusikiliza tu.Hii ya kuchat msn huwa inatokea watu wengi sana hasa akina jengua kama wewe sema wewe game hizi hujui kuzicheza.....kama inawezekana mkuu nidondoshee anuani ya barua pepe ya wife wako.I promise sitafanya UFISADI
 
ha ha ha, thubutu!!!

Mtu mwenyewe anajiita Mtu... usipoangalia hachelewi kujiita green29 machoni pa mkeo! lol
 
mwanangu mpaka sasa soo limeishia wapi, mbona kimya au ushasolve tatizo, du pole bwana, manake na sisi mabachelor still hatujui uchungu wa ndoa hivyo ndo maana ushauri mwingi hapa ni wakibachelor bachelor, ila mimi ninawasi, kama ni kweli embu tupe stori imekuwaje, isije ikawa ni mtu anataka kumtaight mumewe?
 
.....kama inawezekana mkuu nidondoshee anuani ya barua pepe ya wife wako.I promise sitafanya UFISADI

Duh.. hii itakuwa sinema..kumbuka hii ndoa ni changa! Kuna kisa cha mdigo mmoja alipotelewa na bata wake, sasa akaenda kwa mtaalamu wa tunguli amsaidie, mtaalamu baada ya kupiga tunguli sana akamwambia kuwa waungwana wametoa masharti wamesema hii kazi ni rahisi sana ila wanataka uwaletee ngo'mbe mweusi asiye na baka lolote!
 
tatizo ni pale wife naye ana message zake za siri na hataki mme access email yake,
 
Nadhani kama wengi walivyosema inabidi uwe mkweli tu, kwani utakapoanza kumwongopea zaidi naye akagundua ujue kuwa hali itakuwa mbaya zaidi. Mimi nafahamu mama mmoja ambaye mumewe alimtumia picha ya uume wake uliosimama kwelikweli kimakosa na kuambatanisha na maneno haya; "jamaa yupo tayari kwa kazi baadaye, wewe jiandae!""
Jamaa aliomba msamaha na mama alimsamehe!, Guess what? Jamaa alikuja fumaniwa miezi michache baadaye na ukawa ndo mwisho wa ndoa yao. hadi leo hii yule mama anayo hiyo Text na picha kwenye simu yake!

Ushauri ni kuwa wife atakusamehe ila itabidi kweli uachane na hiyo nyumba ndogo je upo tayari??
 
Cheating ktk ndoa bwana!

Nina jamaa yangu ana mke wake wote wanakaa Dar. Huyo jamaa ana mpenzi wake anafanyia Serikali za mitaa Dodoma naye huyo mama ameolewa na bwana wake anakaa Dar! Sasa huyu mama wa Dodoma anapanga safari ya Dar wanaishi na huyu jamaa siku 2 ndo mama anaenda kwa mme wake na jamaa hudanyanya anasafiri kumbe kajichimbia mahali Dar!

Sasa ni miaka nane haya mambo yanaendelea- na namuuziza jamaa yangu je wake za watu huogopi utauwawawa na mwenye mali? Ananijibu huyu mama ndo anamhonga na anamjengea nyumba -ikikamilika basi atamwacha!

Yaani haya mambo- saa ingine tulio ktk ndoa Mungu huwa anatusaidia!

Sema za mwizi ni arobaini!
 
Mwanadamu/JINI anapofanya mambo maovu anakuwa SHETANI...

Ewe Mola tulinde na mashetani ya kibinaadam na Kijini yakiume na yakike...AMEEN

Omba msamaha kwa Mola wa Ulimwengu na UTUBU usirudie TENA. Ushauri uliotolewa ni mwingi, fanya maamuzi yako binafsi.
 
Mkubwa umeshafanya confession? Hapa Usher anakuambia ufanye coffession. Sikiliza huo wimbo.

http://www.youtube.com/watch?v=I-YEDJYkTr4


[Usher talking on phone]
Hello?
Yo I'm in the booth I'mma call you right back
Nah I just gotta put this one part down I'mma call you back
I'm at the studio man what--
Man quit playin' with me man
No for real don't play like that
Are you--are you serious?
How you know?
Put that on everything.
Damn
I'mma call u back
I'mma call u back...

[Intro]
Everytime I was in L.A. I was with my ex-girlfriend
Everytime you called I told you,
"Baby I'm workin." (No!)
I was out doin my dirt (Oh!)
Wasn't thinkin' 'bout you gettin' hurt
(I) was hand in hand in the Beverly Center like man
Not givin' a damn who sees me
So gone (I know)
So wrong (Just listen)
Thinkin' I got it and left you sittin' at home
Thinkin' about me
Bein' a good girl that you are
But you prolly believe you got a good man
I mean I would never do the things I'mma 'bout to tell you I've done
Brace yourself
It ain't good or easy
But it would be even worse if you heard this from somebody else (oh no)

[Usher speaking]
I know you hate me
I know I hurt you
But there's more
listen...


http://www.azlyrics.com/lyrics/usher/confessionspartii.html
 
Nashukuru sana soo limeisha salama waungwana. Ilikuwa ni kwa njia ya kidemokrasia nikafanikiwa kupata password ya mamaa. Bahati nzuri nilikuta offline msgz nikazi-clear. Ninachoshukuru wife huwa anacheki mails lakini naona hatumii Yahoo messenger mara kwa mara

Sio busara kuelezea password ilipatikanaje ndugu zangu sababu shemeji yenu anaweza akawa ni mmoja wa wageni wetu humu JF au akakuta hiki kisa kwenye media nyingine ikawa shida.

Nashukuru kwa ushauri wa kila mmoja.
 
Pole sana mzee mzima, liwe fundisho. Kwa vile mamaa alikupa password yake kwa kukuamini tafuta namna umshauri aibadili. Tabia zetu zilivyo utaanza kushawishika kufungua email zake, heshimu privacy yake. Ni ushauri tu
 
Green 29 Pole sana.
Ninapata wasiwasi sasa kwamba kama huyo mkeo ni member wa hapa JF na amesoma/anasoma/atasoma comment zote hizi sijui itakuwaje.Nakushauri mwombe MOD afute comment hizi na thread hii kwa ujumla.

Swali la kizushi,vipi baada ya kufungua email yake ulibahatika kusoma japo mail yake mojawapo aliyotumiwa???Kama hukusoma Hongera manake inahitaji moyo,vinginevyo kaka ni balaa.Hahahhahaha
 
Green29, umeparamia mkuki kwa mbele, sasa subiri matokeo!
Nakupa pole sana. Lkn jikaze kaa tayari kumkabili mkeo pale atakapokukabili!
Mi nakushauri utulie-relax- then react kutokana na jinsi huyo mkeo atakavyokujia- akija kwa teke ujipange ulikwepe au ulidake, akija kwa jibusu jipange sawia!
Ila ujue ukitaka kuwa mwizi sharti ujue namna ya kuiba! Ukizubaa matokeo yake ndio hayo -mkuki kwa mbele!!!
Lkn kaka Green,kwa nini ulioa wakati kumbe ulikuwa na mpango wa kuendeleza nyumba ndogo!!! Wewe ndio wale ambao kampeni za ukimwi hamzizingatii! Mwanamume unatakiwa ubadilike babu eee! Ona sasa mambo huyawezi kila mtu akuita wewe "mwizi"
Tuliza kajogoo utaukwaa umpelekee mwenzio (wakati kama angekuletea yeye ungempa lawama debe!! Na bahati yako sana watanzania hawasemagi kama marehemu kafa kwa miwaya kwenye maziko, bali hupamba kwa magonjwa ya mafisadi - presha,kisukari,figo,ini!!!
 

Sasa uanze kampeni za kujisafisha!!!! Hiyo line unayochungulia inaweza kukupeleka pabaya. Utajidanganya mpaka lini? Sometimes I wonder kwa nini watu wana bother kuoa? Si una promise ni yeye tu mpaka kifo chake??????????? Still trying to understand this....nyumba ndogo theory. Badilika bwana mpende mkeo.
 

Good advise madam.. nimeguswa, I have to go back to my marriage vows! thanks
 
Mamalao na Rwabingiri

Kuna Kanakansungu new Theory inayoponda hizi nadharia za 'love' za Western- kuwa kutoka nje ni physical love -and not 'real love'.

Hii theory ilijengewa sana bases kwenye thread ingine! Haimaanishi Green29 hampendi mke wake!

Taabu kubwa siku hivi vibinti vinapenda sana sisi wababa- na ukisema umeoa ndo wanapenda sana- wanasema vijana hawajui kupenda na wanaruka2- na pia vijana wajui kutunza!

May be pia kuwakaripia hawa vibinti vikome kuwang'ang'ania waume za watu!
 

Nadhani na vibinti una vionea Mzalendo, nasisi wababa hatuja tulia, inabidi tuzingatie na kukumbuka ahadi zetu kama alivo shauri mama lao, kabint kakijilengesha uka kemee.. yaani ni kusimama imara kwa ulicho kiahidi!
 
Haimaanishi Green29 hampendi mke wake!

NI kweli kabisa Mzalendo, juhudi za kufuta hili soo hazikulennga kuficha mazambi bali zililenga kumuoondolea usumbufu na kutokumuumiza wife.

Nashukuru mama lao kwa nasaha zako... zidumu fikra za jandoni na mkoleni!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…