Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Green!
Mkono wako ukikukosesha ukate kabisa ili usiwe nao na kuwa shinikizo ukapasuka bure mishipa ya damu kama Kolimba.Bado tunakuhitaji.
Nenda katubu kwa mkeo
Kwanza nakupa five kamanda.Hii ni kama ile nilituma msg ya mupenzi kwa mom,ilikuwa kimbembe mwanawane.wazee nimetuma message ya nyumba ndogo kwa wife kwa bahati mbaya. Nilikuwa nachati nao wote kupitia yahoo messenger sasa nikajikuta namtumia msg wife badala ya nyumba ndogo. wife alisha log out nahisi bado hajaisoma , nataka kujua kama naweza kuivuta ili asiikute.
bahati mbaya nilikuwa namkumbusha nyumba ndogo good time tuliyokuwa nayo wakati wa mwaka mpya huko zanzibar wakati wife anajua nilikuwa kigoma kikazi.
nisaidieni tuokoe hii ndoa changa washikaji
.....kama inawezekana mkuu nidondoshee anuani ya barua pepe ya wife wako.I promise sitafanya UFISADI
Nashukuru sana soo limeisha salama waungwana. Ilikuwa ni kwa njia ya kidemokrasia nikafanikiwa kupata password ya mamaa. Bahati nzuri nilikuta offline msgz nikazi-clear. Ninachoshukuru wife huwa anacheki mails lakini naona hatumii Yahoo messenger mara kwa mara
Sio busara kuelezea password ilipatikanaje ndugu zangu sababu shemeji yenu anaweza akawa ni mmoja wa wageni wetu humu JF au akakuta hiki kisa kwenye media nyingine ikawa shida.
Nashukuru kwa ushauri wa kila mmoja.
Sasa uanze kampeni za kujisafisha!!!! Hiyo line unayochungulia inaweza kukupeleka pabaya. Utajidanganya mpaka lini? Sometimes I wonder kwa nini watu wana bother kuoa? Si una promise ni yeye tu mpaka kifo chake??????????? Still trying to understand this....nyumba ndogo theory. Badilika bwana mpende mkeo.
Mamalao na Rwabingiri
Kuna Kanakansungu new Theory inayoponda hizi nadharia za 'love' za Western- kuwa kutoka nje ni physical love -and not 'real love'.
Hii theory ilijengewa sana bases kwenye thread ingine! Haimaanishi Green29 hampendi mke wake!
Taabu kubwa siku hivi vibinti vinapenda sana sisi wababa- na ukisema umeoa ndo wanapenda sana- wanasema vijana hawajui kupenda na wanaruka2- na pia vijana wajui kutunza!
May be pia kuwakaripia hawa vibinti vikome kuwang'ang'ania waume za watu!
Haimaanishi Green29 hampendi mke wake!