Nawezaje kuirudisha meseji nilitotuma kwenye yahoo messenger !! ndoa iko hatarini!



Akikataa nipigie ili nikupe way of hacking yahoo password,
 
mmmh..watu ni maproffesional liars!!ila ajue uongo nao una namna yake ya kuusema,akijichanganya kidogo tu inakula kwake..halafu pia uongo wa kufundishwa sio,utaumbuka ndugu yangu..
 
Heee nimecheka sana mie jamani! Hiki kisa ni 2008 anyway dunia inazunguka humuhumu tu. . Life bwana!
 
nmecheka mpaka basi. kingekuwa ni chakula bila shaka kingerudi. dah! pole sana mkuu. Mia

mtu akishabambwa ndo unamuona baunsa anavyo kuwa mdogo kama pilton. haaaaaahaaaaaa....!!!
 
we hiyo ndoa bado changa kinachokupeleka kwa hao ni nn omba msamaha au kana mashtaka bro ucrudie tena
 
ukiona unakula ujue unaliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…