Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 2,886
- 9,088
.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba niwe Ndugu yako. Uko Mabibo bado?Wale hawana ndugu kabisa wanaishije?
Nataka niingie huko.
nipo ndugu hapaWale hawana ndugu kabisa wanaishije?
Nataka niingie huko.
Kwanini huwataki hata ndugu wakuzaliwa mkuu?.Mabibo gani?
Sihitaji ndugu kwenye hii dunia.hata wa kuzaliwa siwataki
Iwe watu tunaofahamiana basi
Asantenipo ndugu hapa
Duh! pole sana mkuu.Wao ndo hawanitaki
Umewaudhi nini?Wao ndo hawanitaki
Kisa nini hadi wasikutake?Wao ndo hawanitaki
Toka uende mkoa wa mbali ukaanzishe maisha huko alafu uwadanganye upo mkoa mwingine tofauti na ulipo, then fanya kazi huko huku ukipinguza mawasiliano kidogokidogo baada ya miezi michache tupa laini zako usajili laini mpya kwaajili ya marafiki wapya wa mkoa huo.Wale hawana ndugu kabisa wanaishije?
Nataka niingie huko.
Mkuu umesha tajirika au bado unajitafuta ila samahani sana.inawezekana kabisa ila mpaka uwe na sababu, mfano mimi kuna kipindi nilipataga vihela nikapambana sana kusaidia ndugu zangu kwa kadiri nilivyoweza, nakumbuka nikapataga kesi central police nilikaa pale kama wiki mbili ndugu karibu wote walipata taarifa lakini hakuna lolote walifanya kunisaidia nilijipambania mwenyewe nikatoka , baada ya kutoka maisha yangu yakawa magumu sana , ila sikukata tamaa ndo bdae hali ikawa poa, nikaona wamenza kujirudi so kuanzia hapo nilisema sina ndugu niko mwenyewe duniani, hta leo nikumwa ni mimi na Mungu wangu, yaani moyo wangu usharidhika kbs, napambana mwenyewe, basi
Kwanini sasa?Mabibo gani?
Sihitaji ndugu kwenye hii dunia.hata wa kuzaliwa siwataki
Iwe watu tunaofahamiana basi