Nawezaje kuishi Maisha bila ndugu

Nawezaje kuishi Maisha bila ndugu

inawezekana kabisa ila mpaka uwe na sababu, mfano mimi kuna kipindi nilipataga vihela nikapambana sana kusaidia ndugu zangu kwa kadiri nilivyoweza, nakumbuka nikapataga kesi central police nilikaa pale kama wiki mbili ndugu karibu wote walipata taarifa lakini hakuna lolote walifanya kunisaidia nilijipambania mwenyewe nikatoka , baada ya kutoka maisha yangu yakawa magumu sana , ila sikukata tamaa ndo bdae hali ikawa poa, nikaona wamenza kujirudi so kuanzia hapo nilisema sina ndugu niko mwenyewe duniani, hta leo nikumwa ni mimi na Mungu wangu, yaani moyo wangu usharidhika kbs, napambana mwenyewe, basi
nimeipenda hiyo
 
Badilisha tabia, unafikiri hao ambao hawana ndugu wana amani? Fanya utani na kitu kinaitwa upweke mwisho wa siku upate sonona ujiue, hao ndugu unaowakataa watupikie mapilau na soda msibani tujichane
Na pia akiendekeza kuishi na ndg kama ngozi migogoro Italia timu kwake.
Kama unataka ujue ubaya wa ndg ishu nao pamoja au karibu, na wayajue maisha yako.
Nipo km nyingi sana mbali na ndg, na nina amani
 
Back
Top Bottom