Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 12,444
- 18,741
Karibu sana, ni changamoto gani unapitia? tuzungumze hapa hapa au twende pale mwembeni(PM)Asante
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu sana, ni changamoto gani unapitia? tuzungumze hapa hapa au twende pale mwembeni(PM)Asante
bila samahani mkuu, najitafta bado mkuuMkuu umesha tajirika au bado unajitafuta ila samahani sana.
Daaaa pole sanaNaumizwa sana mkuu.najitahidi kuwa strong zaidi lakini nashindwa.
Mtu unakua kwenye shida zake Kwa pesa na utu.ila kwenye shida zangu zikonifika naambiwa kaa mbali nami
Sawa mkuuPia epuka matapeli sababu wanasaikolojia wa humu watatumia mwanya huu kukuumiza zaidi.... Maisha yako yaanze na wewe kwanza kabla ya mtu wa nje yako
Wacha kujibagua weweWale hawana ndugu kabisa wanaishije?
Nataka niingie huko.
Mkuu jitahidi urudi kwa ndugu hapo, kama hujatoboa bado, kutoboa bila msaada wa hali na mali sio rahisi.bila samahani mkuu, najitafta bado mkuu
Wale hawana ndugu kabisa wanaishije?
Nataka niingie huNdugu wa
huo ni uongo tu mkuu, ndugu yako wa kwanza ni wewe, shughulika na ww kwanza, huwezi kuwa na watu wanajiita ndugu zako ambao wao wapo na ww kwenye raha tu, sasa yaniniMkuu jitahidi urudi kwa ndugu hapo, kama hujatoboa bado, kutoboa bila msaada wa hali na mali sio rahisi.
Ndugu muhimu Sanaa Sanaa....Mimi nafurahiana na ndugu zangu.Wale hawana ndugu kabisa wanaishije?
Nataka niingie huko.
Nimepata madini ya muhimu Sanaa Sanaanakuelewa Sana, ila jua familia ni muhimu kwenye Dunia.
Ila pindi inapo anza kuwa kero, step aside upumzike kidogo.
hii ita saidia kukumbukana baina ya ndugu husika.
my family tuko watoto 3, mimi na wa mwisho ndio tuna elewana na kupendana.
huyo wa 2 tuna ishi kukamilisha uwepo wa kila 1.
japo nipo mkoa mwingine, ila bado waweza pokea sms ya kuharibu siku yako.
ila familia muhimu.
Kuwa busy sana na kazi zako.Wale hawana ndugu kabisa wanaishije?
Nataka niingie huko.
Kwa tanzania yetu ambayo haina ajira ni ngumu kuishi bila ndugu.Wale hawana ndugu kabisa wanaishije?
Nataka niingie huko.
Ushauri wako ni useful.asanteKuwa busy sana na kazi zako.
Tengeneza marafiki wako wanaoendana na falsafa zako za maisha, wasio ku drain emotionally.
Kuwa tayari kuishi ukiwa na circle ndogo hata ya hao marafiki.
Jijengee support system yako mwenyewe isiyotegemea ndugu.