Nawezaje kuishi Maisha bila ndugu

nakuelewa Sana, ila jua familia ni muhimu kwenye Dunia.

Ila pindi inapo anza kuwa kero, step aside upumzike kidogo.
hii ita saidia kukumbukana baina ya ndugu husika.

my family tuko watoto 3, mimi na wa mwisho ndio tuna elewana na kupendana.
huyo wa 2 tuna ishi kukamilisha uwepo wa kila 1.

japo nipo mkoa mwingine, ila bado waweza pokea sms ya kuharibu siku yako.
ila familia muhimu.
 
Nimepata madini ya muhimu Sanaa Sanaa
 
Wale hawana ndugu kabisa wanaishije?
Nataka niingie huko.
Kuwa busy sana na kazi zako.

Tengeneza marafiki wako wanaoendana na falsafa zako za maisha, wasio ku drain emotionally.

Kuwa tayari kuishi ukiwa na circle ndogo hata ya hao marafiki.

Jijengee support system yako mwenyewe isiyotegemea ndugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…