Nawezaje kujilinda na kujikinga dhidi ya magonjwa ya FIGO

1. Kunywa maji mengi kutegemea kazi yako na hali ya hewa ya mahala ulipo.

2. Usipendelew vinywaji vyenye concentration kubwa, especially vilevi vikali au juice zenye sukari kali.

3. Kunywa tena maji mengi ukiwa kwenye dozi au ukiwa unatumia dawa.

4. Mazoezi.

5. Kula vizuri na punguza menu zenye Sodium nyingi.

6. Punguza fegi na mashisha.
 
V

yakula gani vina sodium kwa wingi?
 
1. Kunywa maji mengi kutegemea kazi yako na hali ya hewa ya mahala ulipo.

2. Usipendelew vinywaji vyenye concentration kubwa, especially vilevi vikali au juice zenye sukari kali.

3. Kunywa tena maji mengi ukiwa kwenye dozi au ukiwa unatumia dawa.

4. Mazoezi.

5. Kula vizuri na punguza menu zenye Sodium nyingi.

6. Punguza fegi na mashisha.
Kunywa maji mengi itegemee Hali ya hewa ya mazngra unayoishi!! Nakuomba unifafanulie nielewe mkuu
 
Vyakula gani vina sodium kwa wingi?
Sodium (Na+) inatokana sana kwenye chumvi (Table Salt, NaCl). Na chumvi ni moja ya preserving method ya kutunza msosi usiharibike, mfano canned, smoked, salted, frozen etc. Kwahiyo vyakula vingi ambavyo vinajazwa machumvi either kama preservation au kupika vina Na nyingi, kama soup, pizza, kuku na nyama choma, nk.

Na kuikuta natutally kwenye chakula ni nadra yaan ni sisi wenyewe tunaitafuta.
 
Back
Top Bottom