1.usitumie ENERGY DRINKS,usitumie POMBE hasa POMBE KALI**
wala usichanganye pombe na energy drinks ndio sawa na kuuwa kabisa figo+(ukichanganya pombe +energy drinks)= kuua figo.**
1)***ENERGY DRINKS...ENERGY DRINKS NI SUMU SANA .. ikisimama peke yake tu yenyewe tu inaua figo zaidi kuliko hata pombe zenyenyewe.
2.USITUMIE MADAWA YA HOSPITALI hovyo ,usitumie dawa za mmaumivu pain killer kwa muda mrefu au hovyo..dawa za hospitali hovyo ni sumu potential poison
3.USITUMIE DAWA ZA MIZIZI au MITISHAMBA dawa za kienyeji...hazina kipimo,hazijachujwa,nyingi zina ni sumu kali hazina kiwango maalumu dozi,utinzwaji wake hafifu hata expire dose NI SUMU
4.Usitumie CHUMVI au punguza matumizi ya chumvi
5.epuka kuugua ugonjwa wa KISUKARI kwa kupunguza kula au kula kwa kufuata ushauri wa DR JANABI kula kadiri ya mahitaji ya mwili kazi unazifanya ,chakula kinachozidi mwilini hutunza sukari mwilini...
6.kama tayari unaugua ugonjwa wa kisukari fuata masharti kanuni za kuishi na ugonjwa wa kisukari..zingatia LISHE sahihi mazoezi ,dawa na hudhuria kliniki yako
7.MAZOEZI at least nusu saa mara tatu kwa juma utoke jasho,mazoezi ya aerobic sports kukimbia kuruka kamba,kuendesha baiskeli,kuogelea n.k mwili utoke jasho,kutembea kwa haraka hatua 100 kwa dakika au kupandisha vilima n.k
8.Kama unatumia dawa za muda mrefu kama za kufubaza VVUKIMWI fuata ushauri wa mtaalamu wa afya na akipima figo zako anaweza kukushauri juu ya matumizi sahihi ya dawa kadiri ya afyabya figo zako,usitumie dawa hivyo bila ushauri wa daktari hata hizo za VVUKIMWI
,au dawa za maumivu kwa muda mrefu mfano wagonjwa wa maumivu ya mifupa ya muda mrefu kama baridi yabisi ATHRITIS,ni vizuri kupata suluhisho la kudumu la kuondoa hayo maumivu kama ni upasuaji au nyonga bandia au daktari wa mifupa atakavyoshauri kuliko kuendelea kitumia dawa za kutuliza maumivu ya mifupa kwa muda mrefu zinaua figo
9.Kunywa maji ya kutosha at least lita 2 -3 kwa siku
10.punguza UZITO/UNENE
11.Tibu TEZI DUME au matatizo yanayozuia mkojo kutoka ,mkojo usipotoka ukizuiwa na matatizo mbalimbali ya mfumo wa mkojo,unaweza kirudi nyuma kwenye figo na kuharibu figo...
12.sambamba na hiyo USIZUIE usijizuie kwwnda kukojoa usizuie mkojo ukikubana kojoa ila kama unapata shida kupata mkojo wahi hospitali
13.pima afya chunguza mwili mara kwa mara at least kwa mwaka mara 2 hata 3 kila robo mwaka bila kuugua,ila ukiugua wahi hospitali haraka
14.tunza afya yako usipate maambukizi ya magonjwa mengine ya kuambukiza na yasiyoyakuambukiza kama shinikizo la damu Presha,n.k kwa kufuata kanuni za afya ,mazoezi,mlo kamili ukihusisha mboga za majani na matunda,chanjo mbalimbali za kuzuia maambukizi,kuepuka tabia hatarishi zinazopelekea kupata magonjwa na tabia bwete...kunywa maji fanya mazoezi ya kutosha ,punguza uzito unene..,usivute sigara,vileo,vinyajwi vinavyochangamsha mwili,vinywaji vya sukari.
15.PUMZIKA pata muda wa kutosha kupumzika ikiwemo kulala masaa 6-8 kwa siku kulala kunasaidia mwili kijikarabati..pumzisha mwili wako vya kutosha.
17.MUNGU kwanza hii ndiyo namba moja ,ishi maisha ya ibada ili Mungu atupaye afya na uzima atulinde na magonjwa na ajali atuepushie.Hata wagonjwa wanaoumwa tayari Mungu awaponye..mana kuna uwezekano wa kupata shida ya figo kwa sababu ambazo ni za autoimmune,ajali,au idiopathic ambazo kwa kiasi fulani ziko nje ya uwezo wako ku contol..kama ajali inayojaharibu figo,saratani (mutations) na nyingine..MUNGU ATUSAIDIE ,ila ukizingatia hayo yatasaidia na ukifuata ushauri wa DR JANABI tafuta youtube utaona video za dr janabi kaelezea vizuri,DR janabi tumzingatie na ushauri wa madaktari tuufuate.