The Garang
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 2,880
- 4,830
Jamaa ki2c ashakujibuUkisema stay hydrated unamaana gani
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa ki2c ashakujibuUkisema stay hydrated unamaana gani
Epuka pombe kabisa, chumvi na sukari kiasi, ukiweza acha sukari. Kunywa maji ya kutosha. Mengi wadau wameshaeleza.Utashauriwa mambo mengi Ila kuwa na balance tu
Pombe kiasi
Sukari kias
Kila kitu kias
Hata hayo maji ukizidisha utapata madhara negative.
Epuka pombe kabisa, chumvi na sukari kiasi, ukiweza acha sukari. Kunywa maji ya kutosha. Mengi wadau wameshaeleza.
Punguza ulaji wa chumvi.1. Kunywa maji mengi kutegemea kazi yako na hali ya hewa ya mahala ulipo.
2. Usipendelew vinywaji vyenye concentration kubwa, especially vilevi vikali au juice zenye sukari kali.
3. Kunywa tena maji mengi ukiwa kwenye dozi au ukiwa unatumia dawa.
4. Mazoezi.
5. Kula vizuri na punguza menu zenye Sodium nyingi.
6. Punguza fegi na mashisha.
8. Usisikilize Bongo fleva1. Kunywa maji mengi kutegemea kazi yako na hali ya hewa ya mahala ulipo.
2. Usipendelew vinywaji vyenye concentration kubwa, especially vilevi vikali au juice zenye sukari kali.
3. Kunywa tena maji mengi ukiwa kwenye dozi au ukiwa unatumia dawa.
4. Mazoezi.
5. Kula vizuri na punguza menu zenye Sodium nyingi.
6. Punguza fegi na mashisha.
Vitu vyenye manufaa tumia kwa kiasi. Visivyo na manufaa usitumie kabisa.Kila kitu kias , hata hayo maji ukizidisha haifai
Kuna nchi nyingi sana watumia sana vilevi hasa pombe kali, vipi takwimu zao kuhusu ugonjwa wa figo1. Kunywa maji mengi kutegemea kazi yako na hali ya hewa ya mahala ulipo.
2. Usipendelew vinywaji vyenye concentration kubwa, especially vilevi vikali au juice zenye sukari kali.
3. Kunywa tena maji mengi ukiwa kwenye dozi au ukiwa unatumia dawa.
4. Mazoezi.
5. Kula vizuri na punguza menu zenye Sodium nyingi.
6. Punguza fegi na mashisha.
Ngoja nicheki WHOKuna nchi nyingi sana watumia sana vilevi hasa pombe kali, vipi takwimu zao kuhusu ugonjwa wa figo
SawaNgoja nicheki WHO
Kuna jamaa hajawahi kugusa pombe kabisa ila ana CKD na anafanya dailysis. Kuna dogo wa miaka 12 ana CKD na anafanya dailysis. So pombe sio chanzo kikuu cha kufeli kwa figo kuna factors nyingi sana tofauti na pombeEpuka pombe kabisa, chumvi na sukari kiasi, ukiweza acha sukari. Kunywa maji ya kutosha. Mengi wadau wameshaeleza.
Autoimmune nikitu gani1.usitumie ENERGY DRINKS,usitumie POMBE hasa POMBE KALI**
wala usichanganye pombe na energy drinks ndio sawa na kuuwa kabisa figo+(ukichanganya pombe +energy drinks)= kuua figo.**
1)***ENERGY DRINKS...ENERGY DRINKS NI SUMU SANA .. ikisimama peke yake tu yenyewe tu inaua figo zaidi kuliko hata pombe zenyenyewe.
2.USITUMIE MADAWA YA HOSPITALI hovyo ,usitumie dawa za mmaumivu pain killer kwa muda mrefu au hovyo..dawa za hospitali hovyo ni sumu potential poison
3.USITUMIE DAWA ZA MIZIZI au MITISHAMBA dawa za kienyeji...hazina kipimo,hazijachujwa,nyingi zina ni sumu kali hazina kiwango maalumu dozi,utinzwaji wake hafifu hata expire dose NI SUMU
4.Usitumie CHUMVI au punguza matumizi ya chumvi
5.epuka kuugua ugonjwa wa KISUKARI kwa kupunguza kula au kula kwa kufuata ushauri wa DR JANABI kula kadiri ya mahitaji ya mwili kazi unazifanya ,chakula kinachozidi mwilini hutunza sukari mwilini...
6.kama tayari unaugua ugonjwa wa kisukari fuata masharti kanuni za kuishi na ugonjwa wa kisukari..zingatia LISHE sahihi mazoezi ,dawa na hudhuria kliniki yako
7.MAZOEZI at least nusu saa mara tatu kwa juma utoke jasho,mazoezi ya aerobic sports kukimbia kuruka kamba,kuendesha baiskeli,kuogelea n.k mwili utoke jasho,kutembea kwa haraka hatua 100 kwa dakika au kupandisha vilima n.k
8.Kama unatumia dawa za muda mrefu kama za kufubaza VVUKIMWI fuata ushauri wa mtaalamu wa afya na akipima figo zako anaweza kukushauri juu ya matumizi sahihi ya dawa kadiri ya afyabya figo zako,usitumie dawa hivyo bila ushauri wa daktari hata hizo za VVUKIMWI
,au dawa za maumivu kwa muda mrefu mfano wagonjwa wa maumivu ya mifupa ya muda mrefu kama baridi yabisi ATHRITIS,ni vizuri kupata suluhisho la kudumu la kuondoa hayo maumivu kama ni upasuaji au nyonga bandia au daktari wa mifupa atakavyoshauri kuliko kuendelea kitumia dawa za kutuliza maumivu ya mifupa kwa muda mrefu zinaua figo
9.Kunywa maji ya kutosha at least lita 2 -3 kwa siku
10.punguza UZITO/UNENE
11.Tibu TEZI DUME au matatizo yanayozuia mkojo kutoka ,mkojo usipotoka ukizuiwa na matatizo mbalimbali ya mfumo wa mkojo,unaweza kirudi nyuma kwenye figo na kuharibu figo...
12.sambamba na hiyo USIZUIE usijizuie kwwnda kukojoa usizuie mkojo ukikubana kojoa ila kama unapata shida kupata mkojo wahi hospitali
13.pima afya chunguza mwili mara kwa mara at least kwa mwaka mara 2 hata 3 kila robo mwaka bila kuugua,ila ukiugua wahi hospitali haraka
14.tunza afya yako usipate maambukizi ya magonjwa mengine ya kuambukiza na yasiyoyakuambukiza kama shinikizo la damu Presha,n.k kwa kufuata kanuni za afya ,mazoezi,mlo kamili ukihusisha mboga za majani na matunda,chanjo mbalimbali za kuzuia maambukizi,kuepuka tabia hatarishi zinazopelekea kupata magonjwa na tabia bwete...kunywa maji fanya mazoezi ya kutosha ,punguza uzito unene..,usivute sigara,vileo,vinyajwi vinavyochangamsha mwili,vinywaji vya sukari.
15.PUMZIKA pata muda wa kutosha kupumzika ikiwemo kulala masaa 6-8 kwa siku kulala kunasaidia mwili kijikarabati..pumzisha mwili wako vya kutosha.
17.MUNGU kwanza hii ndiyo namba moja ,ishi maisha ya ibada ili Mungu atupaye afya na uzima atulinde na magonjwa na ajali atuepushie.Hata wagonjwa wanaoumwa tayari Mungu awaponye..mana kuna uwezekano wa kupata shida ya figo kwa sababu ambazo ni za autoimmune,ajali,au idiopathic ambazo kwa kiasi fulani ziko nje ya uwezo wako ku contol..kama ajali inayojaharibu figo,saratani (mutations) na nyingine..MUNGU ATUSAIDIE ,ila ukizingatia hayo yatasaidia na ukifuata ushauri wa DR JANABI tafuta youtube utaona video za dr janabi kaelezea vizuri,DR janabi tumzingatie na ushauri wa madaktari tuufuate.
Wataalamu watueleze imetokana na nin hiyo mpaka wakauguaKuna jamaa hajawahi kugusa pombe kabisa ila ana CKD na anafanya dailysis. Kuna dogo wa miaka 12 ana CKD na anafanya dailysis. So pombe sio chanzo kikuu cha kufeli kwa figo kuna factors nyingi sana tofauti na pombe
chembe hai nyeupe au chembe hai zako mwenyewe za kinga za mwili wako zinapambana na chembe hai za viungo vya mwili wako wenyewe kama chembe hai za figo.Autoimmune nikitu gani
ChumviV
yakula gani vina sodium kwa wingi?
Hata Panadol na hedex nazo ni tatizo mkuu????1.usitumie ENERGY DRINKS,usitumie POMBE hasa POMBE KALI**
wala usichanganye pombe na energy drinks ndio sawa na kuuwa kabisa figo+(ukichanganya pombe +energy drinks)= kuua figo.**
1)***ENERGY DRINKS...ENERGY DRINKS NI SUMU SANA .. ikisimama peke yake tu yenyewe tu inaua figo zaidi kuliko hata pombe zenyenyewe.
2.USITUMIE MADAWA YA HOSPITALI hovyo ,usitumie dawa za mmaumivu pain killer kwa muda mrefu au hovyo..dawa za hospitali hovyo ni sumu potential poison
3.USITUMIE DAWA ZA MIZIZI au MITISHAMBA dawa za kienyeji...hazina kipimo,hazijachujwa,nyingi zina ni sumu kali hazina kiwango maalumu dozi,utinzwaji wake hafifu hata expire dose NI SUMU
4.Usitumie CHUMVI au punguza matumizi ya chumvi
5.epuka kuugua ugonjwa wa KISUKARI kwa kupunguza kula au kula kwa kufuata ushauri wa DR JANABI kula kadiri ya mahitaji ya mwili kazi unazifanya ,chakula kinachozidi mwilini hutunza sukari mwilini...
6.kama tayari unaugua ugonjwa wa kisukari fuata masharti kanuni za kuishi na ugonjwa wa kisukari..zingatia LISHE sahihi mazoezi ,dawa na hudhuria kliniki yako
7.MAZOEZI at least nusu saa mara tatu kwa juma utoke jasho,mazoezi ya aerobic sports kukimbia kuruka kamba,kuendesha baiskeli,kuogelea n.k mwili utoke jasho,kutembea kwa haraka hatua 100 kwa dakika au kupandisha vilima n.k
8.Kama unatumia dawa za muda mrefu kama za kufubaza VVUKIMWI fuata ushauri wa mtaalamu wa afya na akipima figo zako anaweza kukushauri juu ya matumizi sahihi ya dawa kadiri ya afyabya figo zako,usitumie dawa hivyo bila ushauri wa daktari hata hizo za VVUKIMWI
,au dawa za maumivu kwa muda mrefu mfano wagonjwa wa maumivu ya mifupa ya muda mrefu kama baridi yabisi ATHRITIS,ni vizuri kupata suluhisho la kudumu la kuondoa hayo maumivu kama ni upasuaji au nyonga bandia au daktari wa mifupa atakavyoshauri kuliko kuendelea kitumia dawa za kutuliza maumivu ya mifupa kwa muda mrefu zinaua figo
9.Kunywa maji ya kutosha at least lita 2 -3 kwa siku
10.punguza UZITO/UNENE
11.Tibu TEZI DUME au matatizo yanayozuia mkojo kutoka ,mkojo usipotoka ukizuiwa na matatizo mbalimbali ya mfumo wa mkojo,unaweza kirudi nyuma kwenye figo na kuharibu figo...
12.sambamba na hiyo USIZUIE usijizuie kwwnda kukojoa usizuie mkojo ukikubana kojoa ila kama unapata shida kupata mkojo wahi hospitali
13.pima afya chunguza mwili mara kwa mara at least kwa mwaka mara 2 hata 3 kila robo mwaka bila kuugua,ila ukiugua wahi hospitali haraka
14.tunza afya yako usipate maambukizi ya magonjwa mengine ya kuambukiza na yasiyoyakuambukiza kama shinikizo la damu Presha,n.k kwa kufuata kanuni za afya ,mazoezi,mlo kamili ukihusisha mboga za majani na matunda,chanjo mbalimbali za kuzuia maambukizi,kuepuka tabia hatarishi zinazopelekea kupata magonjwa na tabia bwete...kunywa maji fanya mazoezi ya kutosha ,punguza uzito unene..,usivute sigara,vileo,vinyajwi vinavyochangamsha mwili,vinywaji vya sukari.
15.PUMZIKA pata muda wa kutosha kupumzika ikiwemo kulala masaa 6-8 kwa siku kulala kunasaidia mwili kijikarabati..pumzisha mwili wako vya kutosha.
17.MUNGU kwanza hii ndiyo namba moja ,ishi maisha ya ibada ili Mungu atupaye afya na uzima atulinde na magonjwa na ajali atuepushie.Hata wagonjwa wanaoumwa tayari Mungu awaponye..mana kuna uwezekano wa kupata shida ya figo kwa sababu ambazo ni za autoimmune,ajali,au idiopathic ambazo kwa kiasi fulani ziko nje ya uwezo wako ku contol..kama ajali inayojaharibu figo,saratani (mutations) na nyingine..MUNGU ATUSAIDIE ,ila ukizingatia hayo yatasaidia na ukifuata ushauri wa DR JANABI tafuta youtube utaona video za dr janabi kaelezea vizuri,DR janabi tumzingatie na ushauri wa madaktari tuufuate.
Usiishi kwa mazoea kwa Mbowe, kwamba kila baada ya miaka 5 unakuja na agenda ile ile ya bila wewe chama kitakufa.
PAIN KILLERS dawa za maumivu hasa NSAIDS non steroidal anti inflammatory Drugs kama diclofenac,ibuprofen/brufen nk zinasababisha BILATERAL RENAL ARTERY constriction kusinyaa mishipa ya damu inayopeleka damu kwenye figo zote inapunguza kiasi cha damu(chakula na hewa safi) kupelekea figo kusinyaa kukauka NECROSIS na kufa.Hata Panadol na hedex nazo ni tatizo mkuu????