Nawezaje kujilinda na kujikinga dhidi ya magonjwa ya FIGO

Autoimmunie tiba yake ni nin
 
Habari wakuu nauliza nawezaje kujikinga na maradhi ya Figo au vyakula Gani visivyofaa vinahatarisha afya ya figo
Kupata chronic kidney failure siyo rahisi Kwa mtu ambaye Kinga yake ya mwili Iko vizuri au hiv -ve. Pamoja na vyote vilivyoanishwa ambavyo unatakiwa kuviepuka na kuvifanya pia usipende kubana mkojo Kwa muda mrefu.

Pendelea pia kula matango, yanasaidia kuimarisha afya ya Figo.
 
Autoimmunie tiba yake ni nin
hii haina
Autoimmunie tiba yake ni nin
Hakuna dawa ya kuponya au kuzuia autoimmune ni mfumo wa kinga ya mwili wako una misbehave wenyewe unaanza kushambulia mwili wako wwnyewe .Ndio mana nilisema kuna baadhi ya sababu sio rahisi kuzizuia kiziepuka unaweza usinywe pombe,usitumie madawa au energy drinks au n.k lakini kuna sababu visababishi zilizo nje ya uwezo wetu ambazo SIO RAHISI kuzizuia kama AJALI au trauma inayopelekea Intra renal injury jeraha kwwenye figo zote au mutations au saratani au idiopathic..
Kwa zile modifiable risk behaviours visababishi ambavyo vipo ndani ya uwezo wetu kujiepusha kama KUACHA TABIA HATARISHI ,na tabia bwete kubadili mfumo wa maisha mabaya ni vyema kuziepusha
Nyingine zilizo nje ya uwezo wetu hatuwezi kuziepuka.
HITIMISHO
Zipo dawa za kushusha makali ya kinga za mwili immune suppressors zinatumikaga kushusha kinga mwili ili.kupunguz makali ya kushambulia mwili wenyewe n.k
KWA USHAURI ZAIDI NENDA HOSPITALI UPATE USHAURI WA DAKATARI WAKO
 
Kila kitu kias , hata hayo maji ukizidisha haifai
Vitu vyenye manufaa tumia kwa kiasi. Visivyo na manufaa usitumie kabisa.
Kuna jamaa hajawahi kugusa pombe kabisa ila ana CKD na anafanya dailysis. Kuna dogo wa miaka 12 ana CKD na anafanya dailysis. So pombe sio chanzo kikuu cha kufeli kwa figo kuna factors nyingi sana tofauti na pombe
Ni kweli kuna visababishi vingine, hata vilivyo nje ya uwezo wetu. Lakini hiyo haimaanishi usiwe makini na vilivyo ndani ya uwezo, kama lifestyle unayoishi.
 
Hii Kinga ya mwili Kumisbehave wenyewe sababu kuu huwa ni nin
 
auto....automatic
Hii Kinga ya mwili Kumisbehave wenyewe sababu kuu huwa ni nin
.
Hii Kinga ya mwili Kumisbehave wenyewe sababu kuu huwa ni nin
AUTO..autonomous....automatic...self control...yenyewe tu inalianzisha yenyeswe self automatic ..ina overeact...tofauti za kimaumbile..(sio kwa watu wote kwa baadhi ya watu/maumbile ya kinga zao za mwili hypersensitivity reaction..yani kama jamii ya aleji hivi miili inatofautiana reactions kwwnye same stimulus ...ndio mana wengine wana aleji wwngine hawana aleji...Immunoglobins zinatofautiana reactions..NENDA HOSPITALI YA KARIBU FUATA USHAURI WA DAKTARI WAKO
 
πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…