kingkongtz
JF-Expert Member
- Dec 28, 2019
- 1,058
- 3,613
Wakuu kwema, nilikuwa naumwa yapata wiki sasa npo ndani.
Sasa wakati sijiwezi kitandani kuna documents ilitakiwa nizitume sehemu nikampa wife simu anisaidie kutuma na akafanya hivyo na kule zilipoenda nikaambiwa zimefika.
Sasa katika kipindi cha wiki wifey amekuwa akichukia simu yangu na kuingia mitandaoni kuangalia vichekesho.
Juzi nmechukua simu naingia FB naona naambiwa nakaribia kuwekewa blue tick kwenye acc ya FB, nikafuafilia kidogo naona naambiwa nimalizie hatua zilizobaki nikashtuka nikaacha.
Badae nakuja kushtuka salio la Bank limepungua kiasi kile kile nachotakiwa kulipia FB kuwa verified, nikapanic kidogo nikaamua kufuta kabisa acc.
Dasa leo ndo kasheshe nimezama simbanking naona tsh 19700 imerud (refunded) ila salio tena tsh 64000 limepungua, kufuatilia vzr naona nilisubscribe kwenye WPS bila kujua duuh nmedata.
Wakuu naombeni msaada nafanyaje kujiondoa na hii 64000 itarudi kweli? maana ile ya FB imerudi jana.
Kwenye acc wameandika kiask halisi 300,000 na kiasi kinachopatikana tsh 236,000 (crdb simbanking)
Msaada wenu katika hili