Nawezaje kujiondoa kwenye huduma hii ili nisiendelee kukatwa pesa zangu?

Nawezaje kujiondoa kwenye huduma hii ili nisiendelee kukatwa pesa zangu?

Siku hizi ukitaka kufanya malipo online tengeneza mpesa au tigo pesa master card inatosha usiweke account yako ya bank ambayo unatumia kufanya savings maana auto renewal zitakumaliza.
 
Ndo maana,hupendi kuweka password kwenye app zote,labda nikuachie sms na call log
 
Back
Top Bottom