kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
unaumwa unampa simu mkeo achezee zimo kweli wewe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
zimo mkuu,hakuna mkamilifuunaumwa unampa simu mkeo achezee zimo kweli wewe?
Bank zetu zina mfumo wa hovyo sana tofauti na Bank za KENYA na Nyingine za kimataifa.msaada wenu katika hili
we ndo umeongea vyema wengine wanamshambulia mgonjwaBank zetu zina mfumo wa hovyo sana tofauti na Bank za KENYA na Nyingine za kimataifa.
Bank zatu CRDB,NMB huwa hawatumi OTP pale unapofanya malipo kwa VISA Card na Master Card.
Unachotakiwa kufanya ni kuondoa taarifa za KADI yako kwenye Simu yako kisha toa subscription, na vilevile hakikisha Card yako inakuwa yako, narudia tena TUNZA KADI YAKO WEWE.
Kingine usiruhusu Kadi yako ikapigwa picha na mtu. Kutokana na hawatumi OTP, hii ina maanisha hata mimi nikipata taarifa za kadi yako (Card number, Expry date na CVV) basi naweza kulipia chochote mtandaoni.
Be a Man, focus na Afya yako. Hizo Pesa ulizopoteza yawezekana zisirudi ila unaweza zuia zisipotee tena.
Get well.
shukran sana kwa maoni yako mkuu na Mungu akubariki.Bank zetu zina mfumo wa hovyo sana tofauti na Bank za KENYA na Nyingine za kimataifa.
Bank zatu CRDB,NMB huwa hawatumi OTP pale unapofanya malipo kwa VISA Card na Master Card.
Unachotakiwa kufanya ni kuondoa taarifa za KADI yako kwenye Simu yako kisha toa subscription, na vilevile hakikisha Card yako inakuwa yako, narudia tena TUNZA KADI YAKO WEWE.
Kingine usiruhusu Kadi yako ikapigwa picha na mtu. Kutokana na hawatumi OTP, hii ina maanisha hata mimi nikipata taarifa za kadi yako (Card number, Expry date na CVV) basi naweza kulipia chochote mtandaoni.
Be a Man, focus na Afya yako. Hizo Pesa ulizopoteza yawezekana zisirudi ila unaweza zuia zisipotee tena.
Get well.
shukran ndugu.Pole sana mkuu kwa kuumwa kiongozi
acha kejeli mkuu asilimia ngapi ya wa tz hawafahamu mambo hayaHuwa mnaoa vituko
Ulimuokotea pori gani huyo mkeo?
Ukija kuambiwa hivyo kuhusu kile kinyago chako utafurahi? Kuwa na adabu.Huwa mnaoa vituko
Ulimuokotea pori gani huyo mkeo?
Ushadeal na mkeo kwanza ambae ndio chanzo?
Aaah mzee wa nyamwage... unatamba mndengelekoBro mkeo key zake ziko low sana hawa ndio wale wanawake mnao agiziwaga na wazazi wenu kutoka kijijini mimi nilikataa huo ujinga
Wake up broh,sasa hapo si wamekuwekea namba ya kupiga?,piga usitishe haraka huo muhamala.,nimepokea sms hii ikiwa hata namba ya siri sijaweka,,msaada wenu nifanyejeView attachment 3088975